Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Binafsi alinivutia zaidi kwenye hizo mbili, hiyo greatly sijaiona ni ya mjini? Komaa tu umalizane nayo mimi nina muda sijaangalia drama mpya mpaka natia huruma.
Ndio ni ya kimjini na ameigiza spy hivyo anajifanya taahira kumbe yupo kwenye mission.
Ngoja nikiimaliza nitakupa mrejesho.
 
Wanajamii forum naomba kuuliza zile tamthilia za kikorea huwa ni kutoka Korea kusini au Kasikazini binafisi sijui kwa sababu tamthilia nyingi zinahusu FALUME zao .kwa anae jua tusaidiane ":
 
Uwa ni kutoka korea kusini japo kwenye storyline uwa zinacombine north na south maana wale ni watu wamoja wametengana tu miaka ya karibuni haifiki hata 70.
Ila walikuwa na falme mbali mbali
 
wale ni wa Korea kusini..
Ila tu Kama alivosema elmagnifico kuwa huwaga wanakua na story zinazohusu ,Korea kaskazini/Japan/China!
itategemea na story ya movie kuna hizi za mjini... hasa hasa zinahusu Korea kusini ,kidogo Sana zinaweka mambo ya kaskazini.
Ila historical zinajumuisha mataifa mengi Mfano goguryeo,buyeo,ming nk

pia waweza angalia series ya kichina ukazani korea....
inabidi uwe makini na lugha.
 
Kuna utofauti mkubwa mno kwny rafudhi kati ya kikorea na kichina.....wachina wanatumia nguvu sana kuongea but Korea wako smooth sana
 
Damushinmuhyool nimemkubali sana huyu mwanamama Baek Ji Young thanks for your opinions ndio zilinifungua, nimegundua amemzidi Taeyeon...huu wimbo wake wa " That woman" ulitumika kama OST kwenye secret garden naupenda sana pamoja na "Don't forget" wa kny Iris.
Nifah
 
Nitazifuatilia mpenzi,Asante.
Damushinmuhyool kapotea sana.
Aje kutupa updates za Korea pls [emoji24]
 
Back
Top Bottom