Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

watanzania munaitwa huku, munafuga wapelelezi wanaoitwa wakimbizi ndani ya nchi yenu wanaojificha kwenye mwamvuli wa ubalozi.
mwatutafutia balaaa ndani ya nchi yetu ya korea
teh teh teh
View attachment 1970763
Yan kuna ka feeling hata ikitajwa vipi unasikia raha kufahamika

Mask singer mmoja alivaa mask ya Serengeti tiger nikasema weuwee[emoji23]
 
Squid games pressure imefanya niimalize fasta

Nzuri kila nikifikiria jinsi michezo ya utoto ilivyonipiga chenga (mchangizi) ndo nikutane nayo ukubwani, mchezo wa kwanza tu mi nshakufa [emoji16][emoji16]

Sema Yule Mzee kasema kweli ' Maskin na tajir sana hawana tofauti, watafanya chochote kuitafuta furaha/pesa
 
Nimeicheki episode ya kwanza inaonekana ipo moto saa, jana numeivuta kupitia simu yangu na baadae nikitulia navuta nyingine hata mbili kwa leo.

Nilichokipenda kutoka nkiri.com ni kupata kitu quality kwa MB chache, kwamfano hiyo episode ya kwanza yenye urefu wa saa moja na dk 9 kwa MB130 tu.
 
Hatimae umeamua kuikubali I'd yako ya Innocent dependent .

Unachonifurahishaga ni uwezo wako wa kupiga promo, kitu kiwe kizuri au kibaya ilmradi umekielewa wewe, basi utakipigia promo ya nguvu.

The Veil nimeicheki ipo vizuri sana, na ndo aina ya movie genre ninazopenda.
 
Hatimae umeamua kuikubali I'd yako ya Innocent dependent .

Unachonifurahishaga ni uwezo wako wa kupiga promo, kitu kiwe kizuri au kibaya ilmradi umekielewa wewe, basi utakipigia promo ya nguvu.

The Veil nimeicheki ipo vizuri sana, na ndo aina ya movie genre ninazopenda.
 
Duh!, Huyo mzee kumbe ni konki kiasi hicho, ndio maana series zake, zinastori nzuri na hazichoshi.
So Hur Jun na Dae Jang Geum hawa watu walikuwepo historically au mmoja wapo alikuwepo, na huyo wapili ni nyongeza ya Producer?
 
Imewahi kuisha yani mtu unabaki na hamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…