Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wakorea wanajua aisee hii The Veil ni ya moto ile mbaya nimemaliza episode 4 huku nina kimuhemuhe yakucheki next episode ndio ubaya wa ongoing drama tunakatishana stimu hapa najiuliza kama episode 1 mpaka ilipoishia ya 4 ni amsha amsha kama hiv! vipi huko mbeleni itakuaje? baada ya kumaliza Dangerous promise nilikuwa nastruggle Sana kupata drama nyingine itakayogusa moyo wangu kisawasawa Mungu mkubwa atimaye nimeipata hii kama uliipenda Vagabond basi hii utaipenda zaidi.
 
Asante mamie kwa kunijuza hiyo taarifa nitaanza kujaribu hiyo website
Nimebahatika kuicheki kiukweli ni mzuri haina longolongo kwenye kudownload na ina mb ndogo Sana ukidownload but ina shida moja wakati nimemaliza kudownload The veil nimeona subtitle haiyendi sambamba na anachongea actor or actress sasa sijajua ni kwenye drama zote ipo hiv au ni hii tu? Naomba unisaidie kwenye Hili Numbisa
 
Mie ndo nimeanza kuitumia jana sijaona tatizo kwenye hospital playlist labda walikosea kuingiza subtitle kwenye hio drama
Nimebahatika kuicheki kiukweli ni mzuri haina longolongo kwenye kudownload na ina mb ndogo Sana ukidownload but ina shida moja wakati nimemaliza kudownload The veil nimeona subtitle haiyendi sambamba na anachongea actor or actress sasa sijajua ni kwenye drama zote ipo hiv au ni hii tu? Naomba unisaidie kwenye Hili Numbisa
 
The veil nimeona subtitle haiyendi sambamba na anachongea actor or actress sasa sijajua ni kwenye drama zote ipo hiv au ni hii tu? Naomba unisaidie kwenye Hili @Numbisa
huenda lilikuwa ni tatizo la wote bila ya kujali ni tovuti ipi ulioitumia kwa ajili kustreamika, subtitle ya episode 4 ilizidi kutokuwa synchronize (haikupangika kwa mujibu wa muda).

Nimepita tena kwenye website(kissasian) nimekuta tayari ipo vizuri, kama unaweza kuishusha tena na kuiangalia au kuachana nayo huo utabaki kuwa ni uamuzi wako.
1632825476974.png
 
Dadeki hii series ya Sang do na Hur Jun zimefanya hadi nione Mr Sunshine ni series mbovu na sidhani kama nitaimalizia.
naendelea kujifunza taaluma ya biashara kwa njia ya maigizo, kuna project inaitwa the great merchant kim man deok ndio naangalia kiuvivu (stori yake si nzuri sana).
Inakupa hadithi ya mwanamama kim man deok aliyepata kuishi ndani ya tawala ya Joseon kuanzia mwaka 1739 hadi 1812, akiwa na miaka 12 ndani ya visiwa vya Jeju alilelewa na mkuu wa gisaeng (wanawake waburudishaji) na hatimaye akasajiliwa kama ni gisaeng anayetambuliwa na serikali mpaka hapo alipojitambua ya kwamba kumbe ana kipaji kikubwa sana cha kufanya biashara kuwahi kutokezea ndani ya korea.

tukio kubwa na la kukumbukwa alilolifanya nyakati za uhai wake na kuacha taathira njema na ya kukumbukwa kati ya kizazi kimoja hadi chengine mpaka anatengenezewa drama ni hili:

mwaka 1795 ambao ulikuwa ni mwaka wa 19 wa kiutawala wa mfalme jeongjo (Yi San), visiwa vya jeju vilikumbwa na tatizo la ukame uliopelekea jamii kubwa ya raia kudumbukia kwenye umasikini wa njaa, huyu mama aliamua kuziuza asilimia 90 ya asset zake na hatimaye kiwango hicho cha mali akawazadia wananchi.
kwa mujibu wa wikipedia wanasema hicho kiwango cha mali alichokigawa kama utapiga thamani ya fedha za muda huu unapata won billioni 70 au $60 million dollars (takribani billioni 138 za kitanzania kama nitakuwa sahihi).
MV5BNmM2ZjZkYmQtN2MwNy00ZWQ0LTljZDYtMWZmOTM4YzRmNTMyXkEyXkFqcGdeQXVyMzE4MDkyNTA@._V1_.jpg

huenda lilikuwa ni tatizo la wote bila ya kujali ni tovuti ipi ulioitumia kwa ajili kustreamika, subtitle ya episode 4 ilizidi kutokuwa synchronize (haikupangika kwa mujibu wa muda).

Nimepita tena kwenye website(kissasian) nimekuta tayari ipo vizuri, kama unaweza kuishusha tena na kuiangalia au kuachana nayo huo utabaki kuwa ni uamuzi wako.
View attachment 1955961
Baada ya kuona ipo hivyo kwenye nkiri.com nikaamua nicheki kisaasian nashukuru niliipata vizuri by way the veil wanatoa episodes siku ipi na ipi?
 
Chae Soo Bin and Choi Min ho reportedly to lead Netflix new drama Fabulous depicts the work, passion, love and friendship of the four youth who threw their lives into the fashion field.
Chae works in a luxury fashion agency for 5 years, Choi is a freelance retoucher.
in 2022.
FAWPbPLVgAgHeeT
 
Back
Top Bottom