Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Iyo ya mwisho ni ya kike tafadhali iondoe
Acha ushamba. Amesema kali za kwake sio za kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iyo ya mwisho ni ya kike tafadhali iondoe
maisha yetu na maficho ya siri zetu,Ndo Nini Na Aya Nayoyaona Kwenye Road Tragedy One Hata Kunishtua Chingu Kweli.
jina lake pamoja na waigizaji wakuu wamenifanya nijiweke mbali na hiyo drama, ila nikipata kwenye majukwaa mengineyo kila aliyeiangalia ameisifia.Nani anaangalia Yumi's cells? Ila wenzetu ni wabunifu sana jamani
kama wewe ni TISS cha mdomo mualiko utausikia redioni, hatutaki wambeya kwenye harusi yetu.Nasubiria Mwaliko Wa Harusi Bado!
The Veil Ya Moto,jina lake pamoja na waigizaji wakuu wamenifanya nijiweke mbali na hiyo drama, ila nikipata kwenye majukwaa mengineyo kila aliyeiangalia ameisifia.
haya nasubiria mawazo yako,
jina lake pamoja na waigizaji wakuu wamenifanya nijiweke mbali na hiyo drama, ila nikipata kwenye majukwaa mengineyo kila aliyeiangalia ameisifia.
haya nasubiria mawazo yako,
Mmmh airtel wameondoa night bundle la gb 10 maskini sieeee
Pumba.vuuuu na lilaini lao natupa. Wameona tunawafilisi uwii
Doh nimeitumia j4 tu hapoMmmh airtel wameondoa night bundle la gb 10 maskini sieeee
Eti naomba kuuliza Yule FL wa misty na wa high-class/parasite ni mmoja?maisha yetu na maficho ya siri zetu,
ila sijapenda ilivyoisha, ok kuisha kwake itakuwa ni mwanzo mpya wa kusubiria project nyengine ya ji jin hee, nimeshakuwa balozi wa nyumba 10 wa bwana yule, ukiwa na swali, mchango, povu na mengineo nayapokea.
Anaweza kuwa ndiye muigizaji niliyeangalia kazi zake nyingi ukilinganisha na wengineo, nawazungumzia zaidi wale waigizaji wakuu.
- the road the tragedy of one - 2021
- move to heaven -2021
- undercover -2021
- designated survivor: 60 days -2019
- misty -2018
- second to last love -2015
- identical affairs -2016
- blood - 2015
- a word from warm heart -2015
- the great seer - 2013
- dong yi - 2010
- jewel in the palace - 2003
![]()
Asante Kwa ingizo jipyaNani anaangalia Yumi's cells? Ila wenzetu ni wabunifu sana jamani
Doh nimeitumia j4 tu hapo
Badala ya kusubiria sunbae amalize kupika urojo ndio akujibu unaweza kugugoEti naomba kuuliza Yule FL wa misty na wa high-class/parasite ni mmoja?
Naona wanafanana
Tofauti.Eti naomba kuuliza Yule FL wa misty na wa high-class/parasite ni mmoja?
Naona wanafanana
Sherehe za urojo zimeshaharibiwa na mabadiliko ya vifurushiBadala ya kusubiria sunbae amalize kupika urojo ndio akujibu unaweza kugugo
Kwa Ilo Ondoa Shaka, Nitaserebuka Kushinda Wenye Shuhuri.kama wewe ni TISS cha mdomo mualiko utausikia redioni, hatutaki wambeya kwenye harusi yetu.
watu wanakula pilau na kuserebuka wewe kutwa wamuangalia bi harusi na bwana wake kama satellite
mara bi harusi hajapendeza, bi harusi mwembamba kama flaviana matata.
bi harusi amependeza lakini ni mnene kama shishi food.
aiseee utanidhalilisha mbele ya familia
kazi kwako, mualiko loading.................
Nimetoka kuangalia episode ya 1 ya drama inaitwa "The Veil" nimeikubali ile mbaya ipo kama Vagabond hiv. Kitu Cha kwanza nilichovutiwa kwenye hii drama main character yupo very serious ndio mimi napenda inabidi nimfuatilie na drama zingine alizocheza.
Jambo la pili ni story yake inavutia inakupa hamasa yakucheki next episode.Jambo lingine na nililovutiwa zaidi ina mkono wamaana sio ya kitoto, Mapigano yameenda shule. Naomba tu wasiniangushe uko mbele.
Daemushin
missyrose
Numbisa