Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

#Oh Yeon Seo reportedly cast as female lead for drama <#Minamdang> along with #Seo In Guk, she will act as a violent crimes section’s teamleader.

Written by #The Emperor Owner Of The Mask’s scriptwriter,
broadcast in 1st half of 2022.
FAVbHkyVcAAPkPf
 
#Ji Chang Wook, Sung Dong Il and Choi Soo young confirmed cast for new drama <#If You Tell Me Your Wish>, filming began yesterday.
Helmed by #The Cursed’s director,
broadcast isn’t finalized.
FAVWuqIVgAAoOjW
 
Asante mkuu je za romance zenye story nzuri?
  1. because this is my first life
  2. Crash Landing On You
  3. you are my spring
  4. touch your heart
  5. her private life
  6. that winter the wind blows
  7. boyfriend (encounter)
  8. descendant of the sun
  9. while you were sleeping
  10. the beauty inside
  11. what's wrong with secretary kim
  12. ---------------------- n.k
 
<#Money Heist> Korean remake is expected to complete filming in the end of October, release may be around next summer.
=================
Professor #YooJiTae in Netflix drama <#Money Heist> Korean remake?
FARk9cEVcAIcnls
 
tvN drama <#Tale Of The NineTailed> reportedly to produce S2 & S3 with 10 episodes respectively, S2 set in Japanese colonial era and S3 in Joseon Dynasty.

All casts except #Jo Bo Ah are expected to join the drama, female lead will re-cast.
Air in 1st half 2022.
FARdSXoVIAAoBNs
 
  1. because this is my first life
  2. Crash Landing On You
  3. you are my spring
  4. touch your heart
  5. her private life
  6. that winter the wind blows
  7. boyfriend (encounter)
  8. descendant of the sun
  9. while you were sleeping
  10. the beauty inside
  11. what's wrong with secretary kim
  12. ---------------------- n.k
Nashukuru mzee baba kwa kuvumilia maswali yangu swali la mwisho Kati ya hizo zipi main characters ambao wapo serious maana binafsi sipendi niangalie drama yenye main characters ambao comedian au mwenye masiala napenda awe kama yule wa Veil na pia main actress awe serious
 
Chae Soo Bin and Choi Min ho reportedly to lead Netflix new drama Fabulous depicts the work, passion, love and friendship of the four youth who threw their lives into the fashion field.
Chae works in a luxury fashion agency for 5 years, Choi is a freelance retoucher.
in 2022.
FAWPbPLVgAgHeeT

Mambo yangu haya
 
Nashukuru mzee baba kwa kuvumilia maswali yangu swali la mwisho Kati ya hizo zipi main characters ambao wapo serious maana binafsi sipendi niangalie drama yenye main characters ambao comedian au mwenye masiala napenda awe kama yule wa Veil na pia main actress awe serious
umeomba korean romance drama baadae hapo hapo unaweka kipengele cha kutaka waigizaji wakuu wawe seriously ndani yake, mimi sijawahi kuiona korean drama mfano wa hiyo (ukiondoa hizo nilizokutajia za IRIS, ATHENA na Vagabond uliokwisha iangalia)

script na director mkuu ndio humuongoza muigizaji na si muonekano wake, huyo namgoong min uliyeamua kumtolea mfano ukimuangalia kwenye chief kim drama hakuwa hivyo, humo ndani (the veil) umemuona hivyo kwa sababu ya hadithi ya drama husika ilivyo na amekwenda mbali zaidi mpaka kutengeneza mwili wake kwa kuongeza uzito wa kg 10+ ili aendane na uhusika wake (japokuwa script haikumuandaa awe hivyo alivyo kimwili). uhusika wake kwa kuwa yeye ni NIS field agent bila ya shaka alitakiwa awe seriously kwenye utekelezaji wa mission, hodari kwa mapigano, kibaya zaidi amepatwa na tatizo la kupoteza kumbu kumbu na ukiongezea tatizo la amnesia.

do you think atakuwa na muda wa kutabasamu ovyo kama mwanamue aliyeonyeshwa sinema za kamasutra?
Numbisa huyu mdogo wako ameanza kunichezea ndevu.

jaribu kuangalia crash landing on you drama.
 
1631341865-202109111438586498949-20210911144104-01-20210911144311495-1.jpg
Kuna moja niliyowahi kuangalia inaitwa Fatal promise ina character aina hii na story nzuri ninajua kuwa main character wanapangwa na wanavishwa uhusika kutokana na script inavyosema lakini kwa upande wangu sipendi main characters wenye vituko lakini najua kuna watu wanawapenda.By the way Asante kamanda kwakunipa hiyo drama ingawa umeanza kwa kunipa lecture as if tupo chuo
 
😂😂😂😂😂😂😂nilikua nasubiria muda kama huu wa kumchoka inno maana anaomba kimoja kisha anakichambua kiwe na vipengele mia

wakorea unawapenda sana ila unawaogopa, kwa mwendo huu utapata tabu sana na pia utawapa watu tabu kwenye kukutafutia ladha uipendayo.

hiyo fatal promise ukisoma taarifa zake utagundua ya kwamba imebeba zaidi kisasi pamoja na mapambano dhidi ya injustice.
basi itafute Gracious Revenge drama au graceful family drama pengine zitakufaa.
 
Back
Top Bottom