D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Wana wivu sana. Wakiona mtu keshapanda juu wanatafuta tukio la kumshusha. Hasa wadada ndo zao. Mfano yule jamaa waliyesema alikua bully shuleni walitakiwa watoe taarifa ya scandal yake kabla hajawa maarufu wakasubiria kwanza kaanza kufanikiwa ndo wakamshusha
Wanakera kweli mbwa hawa (samahani nimetumia maneno makali.) Sasa sijui wao wanapata faida gani . Ila nao celebrities wawe wanajiheshimu basi japo kidogo...wanawajua watu wao walivyo na kiranga ila hawakomi
Naitafuta the green Rose wadau,, series yngu ya Kwanza ni city hunter
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
miaka yangu takribani 8 yakufuatilia sanaa yao nimejifunza hayo
- wakorea matatizo yako ya kimaisha wanayaingiza mpaka kwenye professional yako,
- kwa wakorea hakuna dhambi iliopita, kama hujaadhibiwa hutakiwi kujiweka huru.
- kwa wakorea hakuna kujisahihisha mpaka pale wenyewe watakapoamua kukusahihisha
- kwa wakorea celebrity unapaswa kuishi vile watakavyo mashabiki wako na si uishi vile utakavyo wewe
- wakorea huamini mwanadamu ni mkamilifu (japokuwa hawakiri hadharani)
- usije ukaomba watumiaji mtandao nchini korea wakakuanzishia vita......umekwisha
miaka yangu takribani 8 yakufuatilia sanaa yao nimejifunza hayo
- wakorea matatizo yako ya kimaisha wanayaingiza mpaka kwenye professional yako,
- kwa wakorea hakuna dhambi iliopita, kama hujaadhibiwa hutakiwi kujiweka huru.
- kwa wakorea hakuna kujisahihisha mpaka pale wenyewe watakapoamua kukusahihisha
- kwa wakorea celebrity unapaswa kuishi vile watakavyo mashabiki wako na si uishi vile utakavyo wewe
- wakorea huamini mwanadamu ni mkamilifu (japokuwa hawakiri hadharani)
- usije ukaomba watumiaji mtandao nchini korea wakakuanzishia vita......umekwisha
Numbisa, nimejaribu kukufata PM ila naona kama vile umeipiga kufuli.Halafu ni mabingwa wa bullying, yaani unakuta baba anakua bullied kazini,mama sokoni au kwenye vikundi(vikoba) vyao,mtoto ahule basi tafrani tupu.
Wana maendeleo makubwa lakini daah wana maisha magumu mno
Numbisa, nimejaribu kukufata PM ila naona kama vile umeipiga kufuli.
Daaah najua kwenu nyinyi watoto wa kike lazima patishe tu,ni kawaida kabisa.Ndio mkuu PM panatisha
Daaah najua kwenu nyinyi watoto wa kike lazima patishe tu,ni kawaida kabisa.Ndio mkuu PM panatisha
Nimependa hapo ni wakwetu woteIla inabidi wabadilike bwana hatupo joseon dynasty hapa alaaa... hao elebrities sio wa kwao peke yao ni wa kwetu pia. Kama hawawataki waache kuangalia drama zao mfyuuuu..hasira za halotel namalizia kwa wakorea leo hahaaa
Hopefully atalivuka hili salama bila mambo ya suicide..hawa ndugu zetu ni dakika mbili mbelekumekucha kwa chief hong
kazi yangu ni kushusha post tu, mjadala nawaachia wenyewe
===========
Kim Seon Ho Apologizes For Controversy Involving Ex-Girlfriend
This is Kim Seon Ho. I sincerely apologize for the belated statement. I experienced a fear that felt for the first time after the article with the mention of my name was released a while ago, and that is why I am writing this now.
I was seeing her with good emotions. In that process, I hurt her due to my carelessness and inconsiderate actions.
I wanted to meet and apologize to her directly, but I am not able to properly convey the apology now and am waiting for that time to come. For now, I would like to genuinely apologize to her through this statement.
I apologize for also disappointing all of those who trusted and supported me until the end. It was all thanks to those who supported me that I was able to become the actor Kim Seon Ho, but I had forgotten that. I apologize for causing trouble to my co-stars and all of the related staff who worked with me due to my flaws. I would like to sincerely apologize to everyone who was hurt.
I am aware that this rambling statement will not fully reach your hearts, but I am still attempting to convey my sincere thoughts. I am very sorry.
Na mwenye kiranga halaliwi matanga [emoji23]Wanakera kweli mbwa hawa (samahani nimetumia maneno makali.) Sasa sijui wao wanapata faida gani . Ila nao celebrities wawe wanajiheshimu basi japo kidogo...wanawajua watu wao walivyo na kiranga ila hawakomi
Kwenye hiyo picha ya kwanza, huyo mzee wa kushoto ni comedian mzuri sana, sijui jina lake ila nimemuona kwenye series nyingi sana.Huu umakini n'louweka kwenye hii 'SAVE ME' ningeuweka shuleni sijui ningekuwa wapi? [emoji23][emoji23] Maana naitazama kama vile nina paper.View attachment 1981892View attachment 1981900View attachment 1981899
Ni fala sana. Ila humu ndani ni muuaji mzee.Kwenye hiyo picha ya kwanza, huyo mzee wa kushoto ni comedian mzuri sana, sijui jina lake ila nimemuona kwenye series nyingi sana.
Mzee hao 'jackchain' na bruce lee sio wakorea mzee. Hao ni wachina. Na unayoyaongea ni sifa za movies za kale za kichina. Hujagusa wakorea mzee.Ukiacha movies za kina jackchain na brucelee nilizokuwa naaangalia enzi hizo za kikorea, sijawahi kuwa mpenzi tena wa movies au series za kikorea, naonaga kama wamezidisha editing.