Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wameboronga kuna mdada wameonyesha kauliwa na mwanae kaonyeshwa kaburi mara hee eti yupo hai,na cheo cha chairman wa shule kubwa kabisa kupewa mtu yoyote nayo imechangia kushangaza
Hii nimefika ep 11 nashindwa hata kuimalizia, yani kuna namna kama inaenda enda tu.

Huyo dada namkubaligi Ila kwenye cheat on me if you can na hii hapana au ni story sijui

Sent from my Hisense T5 Plus using JamiiForums mobile app
 


Nasema hivi sina mpango wa kuitazama Squid game.
Utamshauri nini ambaye anataka kutazama kati ya hizi kazi? Squid game or The Veil?
 
Naombi app au website nitakaodownload korean drama kea mb Chache maana uku kisaasian wamezingua na app ya nkiri kuna baadhi za kikorea hazipo Tunaomba msaada jamani
Numbisa
DAEMUSHIN
missyrose
Tumia toxicwap.com ina movies na k-drama nyingi zaidi. Unashusha episode na latest movies kwa MB chache tu kama nkiri na netnaija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…