Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Baada ya kumaliza kuitzama Hospital Playlist skutegemea kuja kuona medical drama kali nyengine
Ila hii Dr Romantic mwisho wa matatizo [emoji91][emoji119] s1 na s2 zote kali
 
Itakua ongoing hio kuipata nenda zako Seoul kisha saka location zao ujiangalizie drama yako laivu laivu

Kuwa mvumilivu ukifatilia ongoing dramas
Yah nimeingalia nikagundua ni ongoing drama dah hizi ongoing drama zinatuumiza sana ila angalau nimepata drama nyingine yakusogeza siku Devil Judge nikiisubiri Chimera.Devil Judge nimeikubali ipo vizuri.
 
Mzigo mpya unakuja Sabotage City Poster ya Soo Ae Out bado ya Kim Kang Woo[emoji91]
jtbcdrama-20211111-0001.jpg
 
Back
Top Bottom