Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wameboronga kuna mdada wameonyesha kauliwa na mwanae kaonyeshwa kaburi mara hee eti yupo hai,na cheo cha chairman wa shule kubwa kabisa kupewa mtu yoyote nayo imechangia kushangaza
Hii nimefika ep 11 nashindwa hata kuimalizia, yani kuna namna kama inaenda enda tu.

Huyo dada namkubaligi Ila kwenye cheat on me if you can na hii hapana au ni story sijui

Sent from my Hisense T5 Plus using JamiiForums mobile app
 
hii menu umeiona wapi?
kifurushi cha Saizi yako wanakupa MB 750 kwa shilingi 1500.

kifurushi cha Internet ya kawaida kwa siku sijaona menu ya shilingi 1500, wana kifurushi cha 500, 1000 na 2500.
Hii 2500 wanakupa GB 1.7, kidogo afadhali.

Nasubiria huo uchawi wako wa GB 1.1 kwa buku jero.
Screenshot_20211031-175410_One UI Home.jpg


Nasema hivi sina mpango wa kuitazama Squid game.
Utamshauri nini ambaye anataka kutazama kati ya hizi kazi? Squid game or The Veil?
 
Naombi app au website nitakaodownload korean drama kea mb Chache maana uku kisaasian wamezingua na app ya nkiri kuna baadhi za kikorea hazipo Tunaomba msaada jamani
Numbisa
DAEMUSHIN
missyrose
Tumia toxicwap.com ina movies na k-drama nyingi zaidi. Unashusha episode na latest movies kwa MB chache tu kama nkiri na netnaija.
 
Back
Top Bottom