Asante mkuu.Tumia toxicwap.com ina movies na k-drama nyingi zaidi. Unashusha episode na latest movies kwa MB chache tu kama nkiri na netnaija.
Mwenye group telegram la Korean series atupie link..lile letu pendwa limefungiwa naona
Hatari nakwambia..bado uunge kwa shida ukutane na network kobe..unaweza kulia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Naona tumeshikwa Pabaya mwaka huu
Screenshot dear tui search[emoji23]Mimi nipo kwenye group moja hivi kila nikijaribu kuweka link hapa inagoma. Sijawahi kutafuta drama nikaikosa mule...wanaweka za ukubwa tofauti tofauti
Screenshot dear tui search[emoji23]
Baada ya kumaliza kuitzama Hospital Playlist skutegemea kuja kuona medical drama kali nyengine
Ila hii Dr Romantic mwisho wa matatizo [emoji91][emoji119] s1 na s2 zote kali
@dramaost sijui itafunguka😒Mwenye group telegram la Korean series atupie link..lile letu pendwa limefungiwa naona
Yah kweli mpka mda huu sijaiona mbaya badoZa hospital karibia zote ni nzuri
Drama ya chimera kuanzia episode 3 ninaipataje maana kwenye nkiri wamepost episode 2 tu naombeni msaada jamani
Yah nimeingalia nikagundua ni ongoing drama dah hizi ongoing drama zinatuumiza sana ila angalau nimepata drama nyingine yakusogeza siku Devil Judge nikiisubiri Chimera.Devil Judge nimeikubali ipo vizuri.Itakua ongoing hio kuipata nenda zako Seoul kisha saka location zao ujiangalizie drama yako laivu laivu
Kuwa mvumilivu ukifatilia ongoing dramas
Unaipata kwenye browser yoyoteUnaipata play store au