Basi kama ni hivyo cheki Innocent Defendent na VagabondUmeshaichk series ya Homeland? 24 na prison break je, maudhui haya ndo huwa napendaga, ujasusi, usaliti, siasa chafu, ugaidi etc hapa sibanduki.
Dah naisaka Doctor John yenye mb chache siipatii aseeNaam huwa siangalii ongoing dramas lakini huu mwaka nimezicheki nyingi sana jana nimeanza na Now We Are Breaking Up na The Red Sleeve.
But The Red Sleeve imenipa feeling flani huenda ikawa na sad ending pale ambapo Deok Im alitumwa na Court Lady Jo kwenda kutoa heshima za mwisho kwenye mwili wa Crown Princess Young na akakutana na mfalme akapewa kitabu flani hivi huku akipewa nasaha flani kama Court Lady anatakiwa aje kuchagua kuwa Court Lady wa aina ipi na inawezekana hatma yake ikawa kama ya mmiliki wa kile kitabu ambaye ni Crown Princess Young.
Tunaojua hii History ya Consort UI tunaelewa kipi kinaongelewa.
Credits kwa Kimoitv huku unakutana na drama hadi za mwaka 2000 na mb zake chache ni 144-190 kutegemeana na length yakeView attachment 2008857
Shukran mkuuBasi kama ni hivyo cheki Innocent Defendent na Vagabond
Ingia kimoitv.comDah naisaka Doctor John yenye mb chache siipatii asee
Kama una uvumilivu tafuta laini ya TTCL nikupe mchongo nna miezi zaidi ya 7 siijui kuhusu mabando napakua daily at least episodes hata 10Shukrani kwa chimbo jipya la drama za mb chache. Tatizo mmh wametubania wenye mitandao yao
Kama una uvumilivu tafuta laini ya TTCL nikupe mchongo nna miezi zaidi ya 7 siijui kuhusu mabando napakua daily at least episodes hata 10
Kama unayo download vpn playstore inaitwa Wire Tun then kama una mb fungua hiyo app usubiri servers zitokee zote then unachagua unayotaka,haipo vizuri sana but kwenye kudownload ipo moto sana yaani hadi 2mbps inapigaWaaow aisee safi
Kama unayo download vpn playstore inaitwa Wire Tun then kama una mb fungua hiyo app usubiri servers zitokee zote then unachagua unayotaka,haipo vizuri sana but kwenye kudownload ipo moto sana yaani hadi 2mbps inapiga
Kwahyo kunakua hamna haja ya bundle au linatumika kidogo?Kama unayo download vpn playstore inaitwa Wire Tun then kama una mb fungua hiyo app usubiri servers zitokee zote then unachagua unayotaka,haipo vizuri sana but kwenye kudownload ipo moto sana yaani hadi 2mbps inapiga
Haipo aseee sema nimeigumia Telegram ep zina mb 200Ingia kimoitv.com
Hakuna haja ya bando but unahitaji mb japo kidogo kwenye laini.nyingine kwa ajili ya kufungulia configurations za app zinakuja kama servers za nchi.Kwahyo kunakua hamna haja ya bundle au linatumika kidogo?
Mfano hiyo innocent Defendent utakuta kuna matumizi ya akili, ina matukio yanayokufanya hata wewe mtazamaji unaingia kwenye movie unawaza sijui itakuwa hiv au hiv kila episode inapoisha unatamani uicheki next episode.Jambo lingine kabisa ina story inayovutia.Naomba ukiicheki nipe mrejeshoShukran mkuu
Naomba list ya drama KaliHakuna haja ya bando but unahitaji mb japo kidogo kwenye laini.nyingine kwa ajili ya kufungulia configurations za app zinakuja kama servers za nchi.
Baada ya hapo haina haja ya bando but kwa TTCL tu
Kama unayo download vpn playstore inaitwa Wire Tun then kama una mb fungua hiyo app usubiri servers zitokee zote then unachagua unayotaka,haipo vizuri sana but kwenye kudownload ipo moto sana yaani hadi 2mbps inapiga
Kama ni za ngumi ngumi na mapigano kwa ujumla hapana aisee.
Developer ameweka limit ya watumiaji kwa kila server we lazimisha kila moja ukiona ngumu force hapo any optimized ama lazimisha ya UK ukiipata unatakiwa usiiachie watumiaji wapenda vitonga wapo wengi[emoji23][emoji23]Sijui ninakosea wapi inaniambia server user limits
Developer ameweka limit ya watumiaji kwa kila server we lazimisha kila moja ukiona ngumu force hapo any optimized ama lazimisha ya UK ukiipata unatakiwa usiiachie watumiaji wapenda vitonga wapo wengi[emoji23][emoji23]
Ahsante, umetisha sana [emoji91]
UbarikiweeHakuna haja ya bando but unahitaji mb japo kidogo kwenye laini.nyingine kwa ajili ya kufungulia configurations za app zinakuja kama servers za nchi.
Baada ya hapo haina haja ya bando but kwa TTCL tu