Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Shukrani sana aisee. kule server german na usa mambo ni fireee
Sema hiyo cha mtoto ilishawahi kuwepo Ha Tunnel Plus Vodacom hiyo speed ilikuwa inafika hadi 20mbps sema walifungia host zake ilifanya nidownload drama kama 60 mwezi wa 7 na hadi sasa nishazingalia 10 tu

Ila nasonga nayo kwa siku nachomoka na episodes 8-10 na baadhi ya ongoing
 
uwiii ningeipata hio na hii 4G niliyonayo ingenikoma. yaani haya mambo mzuri jaman tuwe tunashirikishana kama hivi.hapa najiuliza ttcl wana 4G ama. maana hii 3G kwa siku navuta episode 15
 
Loo inabidi nitafute line ya ttcl hapa natumia tigo, so nikishakonect ikaniletea kale kaufunguo kwa juu hapo nazima data naserereka free au.
Mbali na funguo inabidi uhakikishe iwe connected na kama simu yako inaonesha internet speed pale juu basi lazima iwe inahesabu
 
Japo inaonyesha hivo chrome haiunganish Toka jana nishafuta na kudownload mara mbili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…