Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
Ok so nitajuaje kama imeshaconect? Kuna alama gan?Ukiona inaconnect lakini haiperuzi jaribu kujaribisha kila server
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok so nitajuaje kama imeshaconect? Kuna alama gan?Ukiona inaconnect lakini haiperuzi jaribu kujaribisha kila server
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Voda vipiJaribu UK halafu tumia UC browser kama utaweza maana kwangu ipo fasta. na airtel inakubali
Kwa Voda vipi
Airtel inakubal mzee mbona kwangu inazinguaJaribu UK halafu tumia UC browser kama utaweza maana kwangu ipo fasta. na airtel inakubali
Kama simu yako haioneshi internet speed itabidi uwe nayo ili ikusaidie kuona kama imekubali pale tu speed ikishaanza kukimbiaOk so nitajuaje kama imeshaconect? Kuna alama gan?
Airtel inakubal mzee mbona kwangu inazingua
Kweli nimejaribu imeconnect lakin speed yake mbovu sana natamani ingekuwa kama Stark VPN au HA plus maana hizi speed yake ni noma ila shida MB wameweka limit kwasiku unapata MB 250 tuuhkwangu 4G inakubali ila kuperuzi tu maana kudownload naona ipo slow mno
Kweli nimejaribu imeconnect lakin speed yake mbovu sana natamani ingekuwa kama Stark VPN au HA plus maana hizi speed yake ni noma ila shida MB wameweka limit kwasiku unapata MB 250 tuuh
Zote kwa airtelmkuu kwa laini gani nazipata hizo app?
Zote kwa airtel
Mkuu nimeconect kama hvi kwa via ttcl, bt nimejaribu kudownlod episode moja ni masaa mawili sasa haijamaliza, ni sahihi au kuna kitu nakosea?Kama simu yako haioneshi internet speed itabidi uwe nayo ili ikusaidie kuona kama imekubali pale tu speed ikishaanza kukimbia
Hapo tatizo litakuwa la kimtandao maana ukiwa sehemu nzuri inakimbiza fasta sanaMkuu nimeconect kama hvi kwa via ttcl, bt nimejaribu kudownlod episode moja ni masaa mawili sasa haijamaliza, ni sahihi au kuna kitu nakosea? View attachment 2023307
Nasongesha mzigo motoView attachment 2023308
Mkuu nimeconect kama hvi kwa via ttcl, bt nimejaribu kudownlod episode moja ni masaa mawili sasa haijamaliza, ni sahihi au kuna kitu nakosea? View attachment 2023307
Duu sijui shida nini bt natumia ttcl 4gmmh mna uvumilivu aiseee napeleka tatu au nne kwa wakati mmoja
Duu sijui shida nini bt natumia ttcl 4g
VPN unapakua ya aina gani?Siku ukiweza au ukiamka saa nane usiku inakua kasi mno maana wengi wanakua wamelala
VPN unapakua ya aina gani?
Alaa kumbe.. kwa hiyo Airtel inafanya kazi vizuri tu kama ttcl?hii inaitwa wire tun ndo vpn yenyewe