Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Mbona baada ya mb kuisha haifunguki tena mkuu na inaonekana mb zilikuwa zinatumikaWewe itakua umeunga alaf laini inabando inatakiwa uwe na MB 000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona baada ya mb kuisha haifunguki tena mkuu na inaonekana mb zilikuwa zinatumikaWewe itakua umeunga alaf laini inabando inatakiwa uwe na MB 000
Mimi zimeisha na haifunguki tenaUkiwa na mb kwa line ya Airtel zinaenda labda mpka ziishe ndo utumie
Ndo maana umeambiwa haitakiwi uwe na MB na piah airtel inazingua speed yake ipo slow sanaMbona baada ya mb kuisha haifunguki tena mkuu na inaonekana mb zilikuwa zinatumika
Duh ngoja nikatafute ttclNdo maana umeambiwa haitakiwi uwe na MB na piah airtel inazingua speed yake ipo slow sana
[emoji23][emoji23][emoji23] sema huenda ubize ila updates zipo za kutosha tumetoka kutazama The King's Affection Episode ya 16 hapa huku narukia Idol The Coup maana mimi ni fanboy sanaWakuu huu uzi umepoa sana sikuizi no update, no information about ongoing and unreleased projects, what's the problem?
Au bando kupanda ndo sababu ??
King's Affection iko poa?[emoji23][emoji23][emoji23] sema huenda ubize ila updates zipo za kutosha tumetoka kutazama The King's Affection Episode ya 16 hapa huku narukia Idol The Coup maana mimi ni fanboy sana
Yah nzuriKing's Affection iko poa?
mwanzoni nilikua naangalia drama za wakorea kwa kununua CD zilizotafsiriwa kwa kiswahili, baada ya kuifahamu JF hususani thread hii mwishoni mwaka 2015 ndipo nilipoanza kuifahamu kiundani zaidi sanaa ya wakorea.
kilichofuata kimebaki kuwa ni historia isiyofutika, kuna siku nilipatwa na uraibu wa kufuta kila comment niliyoiandika humu na nakumbuka nilianza page no 34 mpaka page no 100 au 200 (nimeshasahau), nilifikiri kufuta kwangu comments inaweza kuwa njia moja wapo ya kuufuta huu uraibu wa kuishi humu muda mrefu (nilitaka nionekane kijana), aigoooo kumbe nilikuwa najipumbaza,
- nilianza kupakua drama mwenyewe kupitia msaada wa members niliowakuta
- nikaanza kufuatilia drama zinazoendelea , mwanzoni sikuwa nafahamu chochote juu ya hili (nilijua drama zote hutolewa completed)
- nikawafahamu na wasanii kwa kufuatilia profiles zao,
- nikazifahamu modern drama kiundani na historical kiundani.
kila niliyemkuta alikuwa anakimbia kama mbio za baiskeli (wengine wanarudi, baadae wanakimbia zaidi)
maisha yangu ya kuangalia wakorea yaliendelea na kuendelea bila ya kujali wengineo,
pakutoa mawazo sikuwa mvivu kutoa mawazo yangu,
pakutoa msaada sikuwa mvivu kutoa msaada iwe ndani ya thread au nje (msaada si lazima wa mali au fedha),
pakuzingua, kukera, kutukana, kudhihaki nilifanya hivyo (leo naomba radhi kwa kila niliyemkosea)
yote nilifanya kwa lengo moja tu la kuikuza hii familia inayotuunganisha bila ya kujali itikadi zetu.
========================
mwishoni mwa mwezi oktoba 2020 nikiwa home nimetulia na kicomputer changu nafuatilia taarifa mbali mbali zinazohusu zaidi taifa letu hususani zanzibar (tulikuwa kwenye uchaguzi bila ya internet imara) nilipatwa na janga la kuungua kwa computer yangu, lilikuwa ni pigo kubwa sana kwa sababu ndio kifaa ninachokitegemea majukumu yangu (sipendi kabisa kutumia simu) , hali ilipotulia baada ya vurumai za uchaguzi nilikwenda kwa fundi lakini aliniambia hii mashine itabidi uivalishe motherbord nyengine.
kuungua kwa computer ndio sababu kuu ilionifanya niache kuapload drama kule telegram (wala hapakuwepo na sababu nyengine) na hata ule ujumbe niliandika kwa kutumia computer ya rafiki anayeishi mbali nami (sikutaka kuwakimbia wale watu bila ya taarifa).
baadae nikanunua computer nyengine lakini sikurudi tena telegram japokuwa nilitamani kufanya hivyo (kipindi kile Nifah hakuwa akionekana sana humu JF niliona hata ugumu kumshitua aniunge tena).
Tarehe kama ile ya mwezi Oktoba 2021 nimepatwa na janga linalofanana kabisa na lile lililotokezea mwaka 2020 hatimaye nikabaki najiuliza
hili jambo limetokezea kibahati mbaya au ni majaaliwa?
Mimi nimeichagua sababu ya pili (majaaliwa), pengine ni ujumbe maalumu unaonitaka nibadili mfumo wangu wa maisha
teh teh teh.
Nikaianza rasmi safari ya kuangalia korean drama kwa kutumia simu(tablet), nakumbuka nilikuwa naangalia jirisan drama (nilifika episode 3) na kings affection drama (nilifika episode 6).
ilipofika tarehe 1 November, bila ya kushinikizwa na mtu niliamua kubadili muelekeo wangu wa maisha kwa kuanzia hapa kwa wakorea. Haijawahi kutokezea maishani mwangu tokea niifahamu thread hii kupumzika japo wiki moja bila ya kuangalia korean drama lakini leo nimetimiza mwezi mmoja bila ya kufanya hivyo.
Namshukuru Maulana kwa hilo.
kwa jambo ulilokwishalizoea kulifanya kwa miaka 8 si rahisi hata kidogo kuliacha lakini yote yamewezekana kwa sababu ya kuweka kwangu dhamira iliojaa umadhubuti ndani yake (japokuwa nakutana na dhoruba za mvua, upepo na kiangazi).
Dae nauanza mwezi wa pili hapo kesho, nitakapouvuka mwezi huu wa December sijui nijipongeze kwa jambo gani kubwa nililo na uwezo nalo kulitenda.
sijui nikaogelee kwenye mkondo wa Nungwi (nilisikia watu wembamba hawazami).
Mac Alpho , mimi nipo kimya kwa sababu hiyo sijui wenzangu.
Nategemea ukimya huu utaendelea kutoka kwangu,
kwa hilo naomba unisamehe.
============
huu wimbo haumuhusu yeyote yule
ANYEOng
Utarudi tu. Samahani lakini kama komenti yangu ni ya kukatisha tamaa.... mimi kuna wakati huwa napitisha hata mwaka bila kufuatilia wakorea ingawa lengo langu Mimi huwa ni kupumzika tu kulingana na mambo nayokuwa nayo kwa wakati huo. Cha kureplace kdrama sijaona bado maana wengine pombe hatunywi, hatuendi klabu, hatuna ma- baby kwa hiyo starehe yangu pekee ni hi na usingizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] naombeni niachweee nitaangalia kdrama hadi nitakapoona mwenyewe moyo wangu hautaki ila si kwa kujilazimisha kuachamwanzoni nilikua naangalia drama za wakorea kwa kununua CD zilizotafsiriwa kwa kiswahili, baada ya kuifahamu JF hususani thread hii mwishoni mwaka 2015 ndipo nilipoanza kuifahamu kiundani zaidi sanaa ya wakorea.
kilichofuata kimebaki kuwa ni historia isiyofutika, kuna siku nilipatwa na uraibu wa kufuta kila comment niliyoiandika humu na nakumbuka nilianza page no 34 mpaka page no 100 au 200 (nimeshasahau), nilifikiri kufuta kwangu comments inaweza kuwa njia moja wapo ya kuufuta huu uraibu wa kuishi humu muda mrefu (nilitaka nionekane kijana), aigoooo kumbe nilikuwa najipumbaza,
- nilianza kupakua drama mwenyewe kupitia msaada wa members niliowakuta
- nikaanza kufuatilia drama zinazoendelea , mwanzoni sikuwa nafahamu chochote juu ya hili (nilijua drama zote hutolewa completed)
- nikawafahamu na wasanii kwa kufuatilia profiles zao,
- nikazifahamu modern drama kiundani na historical kiundani.
kila niliyemkuta alikuwa anakimbia kama mbio za baiskeli (wengine wanarudi, baadae wanakimbia zaidi)
maisha yangu ya kuangalia wakorea yaliendelea na kuendelea bila ya kujali wengineo,
pakutoa mawazo sikuwa mvivu kutoa mawazo yangu,
pakutoa msaada sikuwa mvivu kutoa msaada iwe ndani ya thread au nje (msaada si lazima wa mali au fedha),
pakuzingua, kukera, kutukana, kudhihaki nilifanya hivyo (leo naomba radhi kwa kila niliyemkosea)
yote nilifanya kwa lengo moja tu la kuikuza hii familia inayotuunganisha bila ya kujali itikadi zetu.
========================
mwishoni mwa mwezi oktoba 2020 nikiwa home nimetulia na kicomputer changu nafuatilia taarifa mbali mbali zinazohusu zaidi taifa letu hususani zanzibar (tulikuwa kwenye uchaguzi bila ya internet imara) nilipatwa na janga la kuungua kwa computer yangu, lilikuwa ni pigo kubwa sana kwa sababu ndio kifaa ninachokitegemea majukumu yangu (sipendi kabisa kutumia simu) , hali ilipotulia baada ya vurumai za uchaguzi nilikwenda kwa fundi lakini aliniambia hii mashine itabidi uivalishe motherbord nyengine.
kuungua kwa computer ndio sababu kuu ilionifanya niache kuapload drama kule telegram (wala hapakuwepo na sababu nyengine) na hata ule ujumbe niliandika kwa kutumia computer ya rafiki anayeishi mbali nami (sikutaka kuwakimbia wale watu bila ya taarifa).
baadae nikanunua computer nyengine lakini sikurudi tena telegram japokuwa nilitamani kufanya hivyo (kipindi kile Nifah hakuwa akionekana sana humu JF niliona hata ugumu kumshitua aniunge tena).
Tarehe kama ile ya mwezi Oktoba 2021 nimepatwa na janga linalofanana kabisa na lile lililotokezea mwaka 2020 hatimaye nikabaki najiuliza
hili jambo limetokezea kibahati mbaya au ni majaaliwa?
Mimi nimeichagua sababu ya pili (majaaliwa), pengine ni ujumbe maalumu unaonitaka nibadili mfumo wangu wa maisha
teh teh teh.
Nikaianza rasmi safari ya kuangalia korean drama kwa kutumia simu(tablet), nakumbuka nilikuwa naangalia jirisan drama (nilifika episode 3) na kings affection drama (nilifika episode 6).
ilipofika tarehe 1 November, bila ya kushinikizwa na mtu niliamua kubadili muelekeo wangu wa maisha kwa kuanzia hapa kwa wakorea. Haijawahi kutokezea maishani mwangu tokea niifahamu thread hii kupumzika japo wiki moja bila ya kuangalia korean drama lakini leo nimetimiza mwezi mmoja bila ya kufanya hivyo.
Namshukuru Maulana kwa hilo.
kwa jambo ulilokwishalizoea kulifanya kwa miaka 8 si rahisi hata kidogo kuliacha lakini yote yamewezekana kwa sababu ya kuweka kwangu dhamira iliojaa umadhubuti ndani yake (japokuwa nakutana na dhoruba za mvua, upepo na kiangazi).
Dae nauanza mwezi wa pili hapo kesho, nitakapouvuka mwezi huu wa December sijui nijipongeze kwa jambo gani kubwa nililo na uwezo nalo kulitenda.
sijui nikaogelee kwenye mkondo wa Nungwi (nilisikia watu wembamba hawazami).
Mac Alpho , mimi nipo kimya kwa sababu hiyo sijui wenzangu.
Nategemea ukimya huu utaendelea kutoka kwangu,
kwa hilo naomba unisamehe.
============
huu wimbo haumuhusu yeyote yule
ANYEOng
Yeah ni kweli kama baada ya kazi huna burudani nyingine kama pombe n.k basi drama ndio mahala pake.Ila dah Wakorea sio watu wazuri aisee[emoji23][emoji23]Utarudi tu. Samahani lakini kama komenti yangu ni ya kukatisha tamaa.... mimi kuna wakati huwa napitisha hata mwaka bila kufuatilia wakorea ingawa lengo langu Mimi huwa ni kupumzika tu kulingana na mambo nayokuwa nayo kwa wakati huo. Cha kureplace kdrama sijaona bado maana wengine pombe hatunywi, hatuendi klabu, hatuna ma- baby kwa hiyo starehe yangu pekee ni hi na usingizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] naombeni niachweee nitaangalia kdrama hadi nitakapoona mwenyewe moyo wangu hautaki ila si kwa kujilazimisha kuacha
Kutana na fun girl hapa[emoji23][emoji23][emoji23] sema huenda ubize ila updates zipo za kutosha tumetoka kutazama The King's Affection Episode ya 16 hapa huku narukia Idol The Coup maana mimi ni fanboy sana
Mkuu nashukuru sana angalau naweza kuperuzi nayo kwenye social media japo kwenye kudownlod bado imekua issue, natukia kimoitv. Yaan nikiweza ata kupakuwa epsode moja nitafurah sana.VPN unapakua ya aina gani?
Mkuu inakuwaje mie nikipakuwa movie au epsode haikubali? Wewe unafanyaje?My watchlist
Idol the Coup
Now, we are breaking up
Chimera
Nimepunguza maana wire tun ina mateso ingawa nimefanikiwa kudownload ep 11
My watchlist
Idol the Coup
Now, we are breaking up
Chimera
Nimepunguza maana wire tun ina mateso ingawa nimefanikiwa kudownload ep 11
Khantwe nimefurahi kusikia hauna baby so nakuomba niwe baby wako nikuliwaze na nikufariji kipindi Cha uzuni na karaha nafikiri ukinipa moyo wako kwangu nitakusaidia kwa namna fulani kupunguza ugonjwa wa Korean dramaUtarudi tu. Samahani lakini kama komenti yangu ni ya kukatisha tamaa.... mimi kuna wakati huwa napitisha hata mwaka bila kufuatilia wakorea ingawa lengo langu Mimi huwa ni kupumzika tu kulingana na mambo nayokuwa nayo kwa wakati huo. Cha kureplace kdrama sijaona bado maana wengine pombe hatunywi, hatuendi klabu, hatuna ma- baby kwa hiyo starehe yangu pekee ni hi na usingizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] naombeni niachweee nitaangalia kdrama hadi nitakapoona mwenyewe moyo wangu hautaki ila si kwa kujilazimisha kuacha
Chimera naikubali Sana ila yule dada alikuwa adopt huko marekani nimevutiwa nae Sana anajua kuigiza kingine zaidi ni pisi Kali ile mbayaMy watchlist
Idol the Coup
Now, we are breaking up
Chimera
Nimepunguza maana wire tun ina mateso ingawa nimefanikiwa kudownload ep 11
Ucbrowser tumia kudownload, chrome Mie zilikua zinaishia katiMkuu inakuwaje mie nikipakuwa movie au epsode haikubali? Wewe unafanyaje?
Unavyonambia Kam ni shoga yangu Yule kwamba naweza kukuunganisha[emoji23]Chimera naikubali Sana ila yule dada alikuwa adopt huko marekani nimevutiwa nae Sana anajua kuigiza kingine zaidi ni pisi Kali ile mbaya