talnam
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,451
- 2,830
Una rahaHapa nazisubiria ziishe huku napakua kila wakitoa episode husika
Mie hii simu nikiacha zishushe nakuta imeeka pause Muda. So nategea saa kumi had saa mbili Kwa server ya german zinashuka tu huku nimeishika mkonon[emoji1787]