Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

umepewa time kama hii au?
3012787_Screenshot_20211125-181432_1.jpg
Kama ni hii basi ni nyingi sana kuisha kwenyesaa tatu saa nne huko. Unaweza kubonyeza hapo add time japo ni mara chache mno kukuletea tangazo ili kuongeza time. huwa nasubiri iishe kisha naconnect upya
Imekubali tayari nimeshusha episode moja. Time unaongezea wapi?
 
Hii drama nilikuwa nairuka round hii nimeamua niicheki aisee nzuri sana il hii episode ya 5 very heartbreaking [emoji24]

Melodramas ni nzuri ila za miaka ya nyuma ni nzuri zaidi tena upate zenye episodes 20+ hata 50 kuna moja hiyo ya Jung Il Woo na Uee nimetoka kuimaliza inaitwa Golden Rainbow nayo very touching
poster-780.jpg
 
inaitwaje? Napenda family dramas zipo vizuri mno
Hii drama nilikuwa nairuka round hii nimeamua niicheki aisee nzuri sana il hii episode ya 5 very heartbreaking [emoji24]

Melodramas ni nzuri ila za miaka ya nyuma ni nzuri zaidi tena upate zenye episodes 20+ hata 50 kuna moja hiyo ya Jung Il Woo na Uee nimetoka kuimaliza inaitwa Golden Rainbow nayo very touching View attachment 2027330
 
umepewa time kama hii au?View attachment 2027326Kama ni hii basi ni nyingi sana kuisha kwenyesaa tatu saa nne huko. Unaweza kubonyeza hapo add time japo ni mara chache mno kukuletea tangazo ili kuongeza time. huwa nasubiri iishe kisha naconnect upya
Imejidisconnect...sikuangalia nimepewa time gani inaonekana ndio imeisha. Ukisubiri iishe si utahangaika tena kuunganisha? Halafu mimi eti siamini kama mb haziendi kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
😂😂😂Kama umeunga kifurushi huwezi jua mb zinazotumika ni zipi ila salio likibaki 0 ndo utakua na amani. ee ikijisconnect unaunga tena na unakutana na yale yaserver limits😂😂
Imejidisconnect...sikuangalia nimepewa time gani inaonekana ndio imeisha. Ukisubiri iishe si utahangaika tena kuunganisha? Halafu mimi eti siamini kama mb haziendi kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii drama nilikuwa nairuka round hii nimeamua niicheki aisee nzuri sana il hii episode ya 5 very heartbreaking [emoji24]

Melodramas ni nzuri ila za miaka ya nyuma ni nzuri zaidi tena upate zenye episodes 20+ hata 50 kuna moja hiyo ya Jung Il Woo na Uee nimetoka kuimaliza inaitwa Golden Rainbow nayo very touching View attachment 2027330
GOLDEN RAINBOW, niliiangalia 2017 ilikuwa ni drama nzuri sana.Kikubwa nilipenda mtiririko wake wa matukio na story yake.

Kuna yule mzee aliyekuwa na Restaurant na yule mke wake mpenda hela, wanaweza sana Comedy 😅.
 
Hii drama nilikuwa nairuka round hii nimeamua niicheki aisee nzuri sana il hii episode ya 5 very heartbreaking [emoji24]

Melodramas ni nzuri ila za miaka ya nyuma ni nzuri zaidi tena upate zenye episodes 20+ hata 50 kuna moja hiyo ya Jung Il Woo na Uee nimetoka kuimaliza inaitwa Golden Rainbow nayo very touching View attachment 2027330
Angalia I'M SORRY,I LOVE YOU utaipenda pia.
 
Nishacheki kitambo hiyo,kuna A Thousand Days Promise hiyo nayo dah touching sana na episodes 5 za mwisho wale wanaolizwaga na dramas sijui kama iliwaacha salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakorea wapo vizur sana kwenye swala la kuziteka hisia za mtazamaji, kuna muda hadi unatamani upate ziara ya Korea kusini ili ukawaone tu.
 
Back
Top Bottom