Inahusiana na nini? Tupe short storyWapenzi wa romance kuna series imetoka inaitwa hometown cha cha cha,nimeielewa inavutia mno!
Yah but asilimia kubwa uzuri na urembo huanza na sura mwonekano wa reception ndo maana hakuna mashindano yoyote ya urembo yanayoangalia shape hasa makalio.Nilichogundua kule korea, uzuri wa mdada anaangaliwa sura tu. Daah kuna wanawake wana sura nzuri balaa ila kila nikiangalia shape zao nabaki mdomo wazi.
Uzuri wa mwanamke hutokana na tamaduni za jamii fulani kumbe.
Namuelewa sana yule mdada aliyecheza MY LOVE FROM STAR, na yule aliyecheza IRIS 1...!!
Ajabu ni kwamba huyo Gianna Jun (aliyeigiza My love from star, Jirisan & Legend of the blue sea) ana miaka 41 mpaka sasa lakini ukimuangalia ni kama 20’s 😁😁Yah but asilimia kubwa uzuri na urembo huanza na sura mwonekano wa reception ndo maana hakuna mashindano yoyote ya urembo yanayoangalia shape hasa makalio.
Mara nyingi kwa Wakorea hata kama hawajatuna nyuma kuna yale mazoezi ya pilates huwafanya kuvutia zaidi kiumbo.
Mimi ni muumini sana wa sura nzuri [emoji23][emoji23][emoji23]
Kawaida yao lifestyle kama ilivyo Kim Tae Hee na ukifuatilia actresses wengi waliovuka 35+ ni wanavutia zaidi ya hawa wa under 30 mfano Han Ji Min,Son Ye Jin,Seo Ji Hye,Jo Yeo Jeong,Sung Yuri,Lee Bo Young,Eugen ,n.kAjabu ni kwamba huyo Gianna Jun (aliyeigiza My love from star, Jirisan & Legend of the blue sea) ana miaka 41 mpaka sasa lakini ukimuangalia ni kama 20’s [emoji16][emoji16]
Kim Tae Hee nilimuona mara ya kwanza kwenye IRIS, aiseeh yule mwanamke namhusudu mpaka leo. She is listed as the most beautiful korean actress, yes she deserves it.Kawaida yao lifestyle kama ilivyo Kim Tae Hee na ukifuatilia actresses wengi waliovuka 35+ ni wanavutia zaidi ya hawa wa under 30 mfano Han Ji Min,Son Ye Jin,Seo Ji Hye,Jo Yeo Jeong,Sung Yuri,Lee Bo Young,Eugen ,n.k
Yule ndio Nation's Goddess Of BeautyKim Tae Hee nilimuona mara ya kwanza kwenye IRIS, aiseeh yule mwanamke namhusudu mpaka leo. She is listed as the most beautiful korean actress, yes she deserves it.
Mimi namuona wa kawaida tu aisee..sema ndo hivyo wengi wape. Ila ingekuwa ni mimi, watu wa hiyo age ningempa Song Hye KyoKim Tae Hee nilimuona mara ya kwanza kwenye IRIS, aiseeh yule mwanamke namhusudu mpaka leo. She is listed as the most beautiful korean actress, yes she deserves it.
Tunatofautiana macho aisee..huyu huwa sioni kama ana uzuri wa kutishaMimi namuona wa kawaida tu aisee..sema ndo hivyo wengi wape. Ila ingekuwa ni mimi, watu wa hiyo age ningempa Song Hye Kyo
Nadhani hizi sofa za Kim Tae Hee alizipata enzi zile bado ana hit, ni kweli Kadri anavyokuwa anazidi kuwa wa kawaida ila enzi zile anacheza IRIS aaaaaah alikuwa ni kisu balaa, no wonder walimchukulia kama most beautiful korean actress. Song Hye Kyo nilimuelewa zaidi kwenye Descendants of the Sun , ni mzuri ila bado hafiki kwa Tae HeeMimi namuona wa kawaida tu aisee..sema ndo hivyo wengi wape. Ila ingekuwa ni mimi, watu wa hiyo age ningempa Song Hye Kyo
Yes tumetofautiana sana yaniTunatofautiana macho aisee..huyu huwa sioni kama ana uzuri wa kutisha
Hata sasa ni mzuri anazeeka na uzuri wake..ila kwangu walau naweza mpa namba 3 hiviNadhani hizi sofa za Kim Tae Hee alizipata enzi zile bado ana hit, ni kweli Kadri anavyokuwa anazidi kuwa wa kawaida ila enzi zile anacheza IRIS aaaaaah alikuwa ni kisu balaa, no wonder walimchukulia kama most beautiful korean actress. Song Hye Kyo nilimuelewa zaidi kwenye Descendants of the Sun , ni mzuri ila bado hafiki kwa Tae Hee
Hahah kweli buana ukimjua sana mtu ni au umpende zaidi au umchukie. Bora kumjua juu juu tuKorean drama huwa navutiwa na actors zaidi kuliko actress. Napo ni kuwaona humo humo sio mpaka kufatilia majina yao halisi,wanapoishi,wameoa au kutoswa cheiii itanipunguzia uhondo
salute kwenu mnaowafahamu hadi majina na historia zao
Mimi nikivutiwa na actress ntampakenyua kila kona, ila mara nyingi utawajua kama ni mfatuliaji wa korean industry in various platforms. Surelly If God wishes kuna siku nitaenda huko nikapaone tu, series zao zimenifanya nitamani kujua mengi sana kuhusu wakorea.Korean drama huwa navutiwa na actors zaidi kuliko actress. Napo ni kuwaona humo humo sio mpaka kufatilia majina yao halisi,wanapoishi,wameoa au kutoswa cheiii itanipunguzia uhondo
salute kwenu mnaowafahamu hadi majina na historia zao
Lee bang won mnyama sanaLee bang wonView attachment 2039287
Mimi nikivutiwa na actress ntampakenyua kila kona, ila mara nyingi utawajua kama ni mfatuliaji wa korean industry in various platforms. Surelly If God wishes kuna siku nitaenda huko nikapaone tu, series zao zimenifanya nitamani kujua mengi sana kuhusu wakorea.
Kasumba yao ni ubaguzi tu.
Hahah kweli buana ukimjua sana mtu ni au umpende zaidi au umchukie. Bora kumjua juu juu tu