Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Uwiiiiiii jamani kumbe Baek Ji Young ndio kaimba OST niipendayo Same Heart ya kwenye drama Road Number 1?
Naupendaaaaa ila nilikuwa simjui aliyeimba...
Asante Prishaz,huyu dada ni noma.
Sasa kama umefurahia nipe tip basi lakini Damushinmuhyool asijue maana ndiye aliyenipa sifa za huyu mwanamama naye hakawii kudai tip.
 
Umetisha oppa
 
Amani iwe kwenu wadau,poleni na michakato ya wiki nzima na nawatakieni week end njema,
Naombeni msaada nahitaji kucheki series ya kikorea ambayo ipo vizuri sana katika mapenzi,historia iwe inavutia sana ambapo ukicheki episode moja unajawa na hamu ya kucheki nyngne kwa utamu wake ,naombeni recommendation zenu ,nianzie na movie gani ambayo unahc n best na itanivutia sana ,
Karibuni sana............
 
Mara and Clara iko poa sana kwa kukufanya weekend yako umalize vzur
 
Haaaaaaaa yani hapo ninayejua alifanya surgery ni Kim Nana tu!

Nimeshtuka sana kumuona My girl (Lee da hae) kwenye list maana nampendaga sana.
Duuuuh

Pia Jang Woo (Kim hyun joong) nae sikutegemea,ila ana pua nzuriiiii
Hahahaaaa
Kumbe katengeneza?
Ni noma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…