hahahahaaa hapana jamani sijapotea ila nilikuwa nasaka fedha kwa ajili ya kuhudhuria harusi huko mjini Seol.si munajuwa wiki hiii iliyopita ile couples ambayo imewakutanisha wasanii matajiri wawili nchini korea walifunga ndoa.namkusudia mwanadada mrembo kim tae hee pamoja na boyfriend wakejung ji hoon (bi rain) ambaye ni actor na pia ni mwimbaji mashuhuri nchini korea ambaye ameigiza drama kama vile fugitive plan B,FULL HOUSE, A LOVE TO KILL, ila waliwashangaza mashabiki baada ya kufanya harusi ya kawaida tu ambapo inakadiriwa kuwa wametumia won 1.3 million (usd$1160).pia wameamua kwenda Bali (Indonesia) kwa ajili ya honeymoon.