Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Download wiretun ambayo imeandikwa wire tun kisha chini yake yapo maneno wire tun network ipo play store. Ikifika connect ili upate server kisha hamia laini isiyo na bando ujaribu kama inakubali

Jaribu pia na ha tunnel plus sema file muombe talnam maana hii pia wanaisifia ipo vizuri. Nayo ipo play store
Naomba nielekeze mara ya mwisho maana nime uninstall so nikisha download nafuata step zipi[emoji85]
 
Sawa najaribu tena nitajaribu na hiyo ya talnam..
 
Jaribu kutumia ha tunnel

Mimi hii ilinishinda siku ikususa unataman upasue simu. Ha tunnel imefanya PC imejaa yaan kuzifuta roho inauma, so natizama kwenye simu nafuta kesho na download mwendelezo.

Ila ni asubuh tu
Muongozo ni ule ule kama Wire Tun? Haki wakorea wanafanya tuwe wahujumu [emoji23][emoji23]
 
Jaribu kutumia ha tunnel

Mimi hii ilinishinda siku ikususa unataman upasue simu. Ha tunnel imefanya PC imejaa yaan kuzifuta roho inauma, so natizama kwenye simu nafuta kesho na download mwendelezo.

Ila ni asubuh tu
Ha tunel inakubali mtandao gan mkuu
 
Mimi pia wiretun ilinishinda, sasa hivi natumia ha tunnel inanifanyia amani sana[emoji1787][emoji1787]
Toa madesa hayo mkuu tuzame huko wire tun hamna kitu kabisa

Kama kuna file,ama nini tuambiane mkuu maana hio ha tunnel ninayo app ila sielewi inakwendaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…