Asante uliyerecommend happiness
Comedy zao zinachagizwa na lugha yao na reactions zao, wako vuzuri sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakorea wana komedi zao nyepesi zinazoleta kicheko na tabasamu
Yan hawatumii nguvu,nimecheka sana,😂😂😂😂😂wakorea wana komedi zao nyepesi zinazoleta kicheko na tabasamu
Dan dan bingwa wa kulia hata ka kitu ka dogo keshadondosha chozi😂😂😂😂Comedy zao zinachagizwa na lugha yao na reactions zao, wako vuzuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan hawatumii nguvu,nimecheka sana,
Sijui dan dan ataishiaje na yule single faza wake
Yule aliyekuwa anatwanga risasi?Awesome umeipenda mie mwenyewe niliipenda kisa ka dokta ka kauzu
Ndio huyohuyo, mimi mwenyewe nilimpenda sana vile alikuwa anatumia njia yoyote kukabiliana na hali
Ndio huyohuyo, mimi mwenyewe nilimpenda sana vile alikuwa anatumia njia yoyote kukabiliana na hali
Awesome umeipenda mie mwenyewe niliipenda kisa ka dokta ka kauzu
Nzuri
Nakuota nimewaota mad person
Wale wawili walikuwa hawamuelewi kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na walikuwa hawamuamini ila wakihitaji msaada wanamwambia yeye. Naomba kukumbushwa hivi kuna wakati alicheka?Mwanzoni nilidhani ni villain na ndo aliyetengeneza zile dawa kumbe ni victim wa hizo dawa. Pia chenga zake na wale starring wawili nilizipenda. Mara wamepatana wanafanya kazi pamoja ,mara hawaaminiani tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Wale wawili walikuwa hawamuelewi kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na walikuwa hawamuamini ila wakihitaji msaada wanamwambia yeye. Naomba kukumbushwa hivi kuna wakati alicheka?
Ila nilikuwa namuonea huruma jamani...kuna wanaume wanapenda wake zao. Alivyokuwa kauzu huwezi hata kufikiria ana mpenzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nadhan alitabasamu tu kikauzu hasa kwa kuchoshwa kwa vituko vya wale wawili
Huyu na yule muigizaji anaefanana nae walikua wote kwenye Mr.sunshine wanajua sana Ku act
Ila nilikuwa namuonea huruma jamani...kuna wanaume wanapenda wake zao. Alivyokuwa kauzu huwezi hata kufikiria ana mpenzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitatafuta drama yake nyingine aliyocheza kawaida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani kila mtu ana kaudhaifu kake. Akienda kwa mkewe anakua tofauti kabisa emotions kama zote
Hii nimeitafuta kimoi na nkiri sijaona..ntaipata wapiAsante uliyerecommend happiness
Hiyo drama inaitwaje?