BOSSAM ,nani ambae anaujua huu mzigo?? Kabla sijaushusha.
Mmh unaonekana ushakuwa addicted na korean drama, season nyingi ushatazama. Sio kwa ubaya ila nimekuwa corious tu.Nishauangalia upo vizuri
Mmh unaonekana ushakuwa addicted na korean drama, season nyingi ushatazama. Sio kwa ubaya ila nimekuwa corious tu.
Asante ngoja niuvute mzigo, hayo niliyoandika juu usiyazingatie sana ni nje ya lengo langu.
Zipo za 50 edsd,😅Any short family drama recommendations..sio zile za episode 50 [emoji23][emoji23]
Any short family drama recommendations..sio zile za episode 50 [emoji23][emoji23]
Zipo hadi 100[emoji23][emoji23][emoji23]Zipo za 50 edsd,[emoji28]
Basi ntajie hata 3 ukitoa hiyo Reply 1988Reply 1988 hio ni family drama ya episode 20. Ila za episode 50 tamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wiki hii nipo na ya episode 99
Kumbe imeshatoka nilikuwa naisubiri kwa hamuMarriage ft divorce wameleta season 3 tutawakoma wakorea na seasons zao
Nitajaribu kutafutaKumbe imeshatoka nilikuwa naisubiri kwa hamu
Basi ntajie hata 3 ukitoa hiyo Reply 1988
Familiy drama nyingi zinakuwa na story ndefu kwahiyo ni ngumu sana kukuta yenye eposode 12-16 au 20.Reply 1988 hio ni family drama ya episode 20. Ila za episode 50 tamu😂😂😂😂😂😂Wiki hii nipo na ya episode 99
Familiy drama nyingi zinakuwa na story ndefu kwahiyo ni ngumu sana kukuta yenye eposode 12-16 au 20.
Daaah kilabjikifatilia budget ya movie za kikorea nabaki mdomo wazi, series kutumia 50 Tz Billion ni kawaida kabisa, na zinarudi na faida juu. Nafikiri ndomaana huwa wanarefusha.waongozaji wengi wanaziburuza tu ila kiuhalisia zinatosha kuishia episode 30
Daaah kilabjikifatilia budget ya movie za kikorea nabaki mdomo wazi, series kutumia 50 Tz Billion ni kawaida kabisa, na zinarudi na faida juu. Nafikiri ndomaana huwa wanarefusha.
Nimeona wazee wa All of us are dead wameamua kule season2, nafikiri wanataka wapige hela tu.
Yaani sina moto nayo baada ya Sung Hoon kuachia nafasi actor mwingine na tushazoea sura yakeMarriage ft divorce wameleta season 3 tutawakoma wakorea na seasons zao
Hili ndo huwa wanakosea.Yaani sina moto nayo baada ya Sung Hoon kuachia nafasi actor mwingine na tushazoea sura yake