Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

😂😂😂😂😂😂Siwezi kukana huo ndio ukweli ila bahati nzuri nilipopewa utaalam wa wiretun na hii nicvpn(now inagoma)imenisaidia kusave pesa ya vocha.

Usijali kdrama zinaniondolea stress
Mmh unaonekana ushakuwa addicted na korean drama, season nyingi ushatazama. Sio kwa ubaya ila nimekuwa corious tu.

Asante ngoja niuvute mzigo, hayo niliyoandika juu usiyazingatie sana ni nje ya lengo langu.
 
waongozaji wengi wanaziburuza tu ila kiuhalisia zinatosha kuishia episode 30
Daaah kilabjikifatilia budget ya movie za kikorea nabaki mdomo wazi, series kutumia 50 Tz Billion ni kawaida kabisa, na zinarudi na faida juu. Nafikiri ndomaana huwa wanarefusha.

Nimeona wazee wa All of us are dead wameamua kule season2, nafikiri wanataka wapige hela tu.
 
Ila family drama(episode 50) bajeti zao ndogo kuliko zile zenye episode 16,ndo maana huwezi kutaa hawa mastaa wakubwa mule

wa episode 16 Wana bajeti ndefu na sponsors wa kutosha

Kwenye seasons ndipo wanapochosha. utashangaa season 2 haitakua bora kama season 1

Back
Top Bottom