Yaani sina moto nayo baada ya Sung Hoon kuachia nafasi actor mwingine na tushazoea sura yake
Naomba suruali inayoishia magotini [emoji1787][emoji1787] ndio ulichoomba wewe hapaAny short family drama recommendations..sio zile za episode 50 [emoji23][emoji23]
Pamoja na kuitamani penthouse sijaangalia kwa sababu ya ujinga wa seasonsMarriage ft divorce wameleta season 3 tutawakoma wakorea na seasons zao
[emoji23][emoji23][emoji23]Naomba suruali inayoishia magotini [emoji1787][emoji1787] ndio ulichoomba wewe hapa
Kumbe wamebadilisha..sababu ni nini?Yaani sina moto nayo baada ya Sung Hoon kuachia nafasi actor mwingine na tushazoea sura yake
Vipi ile ishu imekufaa?[emoji23][emoji23][emoji23]
Najua hazikosekani hata mbili au 3 buana..
Nyieee...kumbe young lady and the gentleman ni ongoing! Mshindweee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aah wapi hamnipati. Ngoja nitafute ya kuangalia ninavyosubiri iishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuteseke wengi
Nna ugonjwa wangu kama fanboy kila nikitazama drama ninafall kwa actress hapi lazima nitafute drama zake nyingine[emoji23]
Nzuri Sana.BOSSAM ,nani ambae anaujua huu mzigo?? Kabla sijaushusha.
Imenifaa mno mno hadi naogopa siku nisije kukamatwa kwa uhujumu [emoji23][emoji23]Vipi ile ishu imekufaa?
Aiseeh, mbona mimi nafeli? Lile file ulilipata wapi??Imenifaa mno mno hadi naogopa siku nisije kukamatwa kwa uhujumu [emoji23][emoji23]
Shukrani kwenu nyote
Imenifaa mno mno hadi naogopa siku nisije kukamatwa kwa uhujumu [emoji23][emoji23]
Shukrani kwenu nyote
HahahahHahaha hatari
Unaogopa hadi kuhadithia yani
Mi wananotify ni update naogopa nisitikise mitambo
[emoji23][emoji23][emoji23] wameyataka...kipindi tuko na bando zetu za usiku hata hatukuhangaika na haya mamboImenifaa mno mno hadi naogopa siku nisije kukamatwa kwa uhujumu [emoji23][emoji23]
Shukrani kwenu nyote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe kama mimi, nikipata notification ya ku-update naikata fasta fastaHahaha hatari
Unaogopa hadi kuhadithia yani
Mi wananotify ni update naogopa nisitikise mitambo
Shukran sana, iko vizuriThe Veil