Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Wameharibu hii ilitakiwa iishe season 1 kwa episode 20 au 25 hivi
Yaani sina moto nayo baada ya Sung Hoon kuachia nafasi actor mwingine na tushazoea sura yake