Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Halafu Nifah kumbe noona inatumika na wanaume kwa wadada? Aaaargh sasa mimi ni Unni siyo wewe, ok honey? Sina series mpya nimeamua kurudia fated to love you...si umeiona?

Hahahahahaaaaa mimi ni Unni Nifah bwana,ulikosea kuchagua huna jinsi.

Sijaiona mpendwa,subiri nitaitafuta huwa nasikia ni nzuri.
 
Hahahahahaaaaa mimi ni Unni Nifah bwana,ulikosea kuchagua huna jinsi.

Sijaiona mpendwa,subiri nitaitafuta huwa nasikia ni nzuri.
Umenifanya nicheke mwenyewe sawa Unni mdogo Nifah itafute lazima utaipenda.
 
well done mkuu kumbe jamaa wanaji pimp wavutie? kumbe na wao vile vimacho vyao vinawakera?
 
Kama una tablet ya ywnye processor download app inaitwa Dramania yani mle ni free downloads unashusha series tu, nilikua naidownload huko mpaka wamemaliza.
Dah asante mkuu hapa umetusaidia wengi sikua naijua hii app. Hapa namalizia kitu cha scarlet heart moon lovers. Mubashara from chumbani.
 
Embu hapa naomba tuvote kati ya Kim so hyun na gu jun pyo nani yuko vizuri katika kuigiza? uwezo kwa ujumla
uyu hap juu ndio Gu jun pyo ambae yuko pia kwenye ile series ya boys over flowers

na huyu hapa chini ndio Kim so hyun

Kwa mimi binafs kusema ukweli kura yangu nampa Gu jun pyo jamaa yuko fiti sana..
 
Kama una tablet ya yenye processor ya ukweli download app inaitwa Dramania yani mle ni free downloads unashusha series tu, nilikua naidownload huko mpaka wamemaliza.
Mkuu hiyo application haiko playstore niwekee screen short ya logo yake
 
napenda incarination of money, faith, scholar who walks at night na boys over flower
 
wakuu ninaomba mniambie ni series gani mpya na weza kuipata yenye maadhi kama ya gwangaeto na jumong maana haya ndio maadhi ninayo yapenda
Tafuta series zifuatazo
1.emperor wang gun
2.emperor of the sea
3.king's dream
4.king dae jo yeong
5.yeom gae so mun
6.adimiral yi soo shin
7.king geonchoggo etc
 
Wakuu, kuna movie moja inaitwa THE VICTORY ina story ya vita/uhasama kati ya wachina na Wajapani, naweza ipataje!? Kwa nikipata link jinsi ya kuifikia moja kwa moja niwashukuru sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…