Korean celebrities waliokiri kufanya plastic surgery
wapo waigizaji wengi nchini korea ambao wamekuwa wakishutumiwa ya kwamba wamefanya upasuaji wa kubadili maumbile yao ya asili ila wengi wao wamekuwa wakikanusha juu ya suala hilo,ila wapo wengine ambao wamethibitisha kufanya upasuaji wa kubadili maumbile yao.
Lee si young : miaka 10 iliyopita amefanya upasuaji mara mbili na anaamini ya kwamba maumbile yake ya sasa hivi ndio ya asili,pia amesema haoni aibu kujificha kwa sababu mtu yoyote atakayeangalia picha zake za zamani ataona utofauti.miongoni mwa drama alizoigiza ni
my beautiful brides ,boys over flower, kingdom of the wind, pooseidon
View attachment 464547 View attachment 464548
View attachment 464557
Lee da hae : ameigiza drama kama vile
IRIS 2,
slave hunter,
hotel king,
my girl, sababu kubwa iliyomfanya kufanya upasuaji na kua na umbile la sasa hivi ni kwamba hakuvutiwa na sura yake kwa sababu ilishabihiana na ya baba yake na pia alikuwa mnene kiumbile.
View attachment 464554 View attachment 464556
Kim hyun joong : ni muigizaji ambaye ameigiza tamthilia kama vile
boys over flower,
playfull kiss, inspiring generation na pia ni muimbaji ,alipokuwa mdogo alijigonga pua yake na jiwe (rock) jambo ambalo lilimpelekea kwenda kufanya upasuaji wa pua yake na kumtaka daktari airefushe pua yake.
View attachment 464561
Park min young : unaweza usiamini ila amethibitisha yeye mwenyewe yakwamba alifanya upasuaji wa kubadilisha umbile lake wakati akihojiwa na sports chosun na alisema ya kwamba.
“nilifanya upasuaji wa kuwa na double eyelid nilipokuwa junior high school,pia nilifanya upasuaji wa pua kwa sababu ilikuwa imepinda (crooked) pia aliendelea kusema alikuwa havutiwi na paji lake la uso na pia umbile lake kwani alikuwa ni kibonge”.miongoni mwa drama alizoigiza ni pamoja na city hunter,princess jamnyung n.k
View attachment 464565 View attachment 464566
Kyu hyun : unapotaja waimbaji wakali nchini korea ni lazima umtaje huyu bwana mdogo ambaye ni member anyeunda kundi la super junior na pia nyimbo zake zimetumika kama ni ost kwenye drama tofauti.wakati akihojiwa alisema “wazazi wangu walikuwa na double eyelid ila mimi nilikuwa sina”pia alikanusha habari za uvumi ya kwamba alifanya upasuaji wa pua.
View attachment 464567
Park hyo shin: ni best ballad singer ambapo mwaka 2009 kwenye tamasha la muziki aliwaambia mashabiki wake kuwa alifanya upasuaji wa macho yake nyimbo zake nyingi tu zimetumika kama ni ost katika tamthilia mbali mbali kama vile Iljimae, athena, daejoyoung.
Kwanghee(ze:a) : alipelekwa hospital na mama yake ambapo siku moja alisikika alimwambia mwanawe ya kwamba “kama unataka kuwa celebrity basi unapaswa kuwa na muonekano uliobora”ndipo kwanghee alipoamua kufanya kufanya upasuaji wa pua,macho,paji la uso.
View attachment 464571
Shin eun kyung: ameigiza drama kama vile
oh my ghost,
family secret,
flames of desire,
still you n.k ambapo aliamua kufanya upasuaji wa taya(jaw) aliamua kufanya upasuaji huo kwa sababu watu walishindwa kumuelewa sura yake kwa sababu walimchukulia kama ni mtu mwenye sura yenye hasira kila wakati.
View attachment 464572