Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Halafu Nifah kumbe noona inatumika na wanaume kwa wadada? Aaaargh sasa mimi ni Unni siyo wewe, ok honey? Sina series mpya nimeamua kurudia fated to love you...si umeiona?

Hahahahahaaaaa mimi ni Unni Nifah bwana,ulikosea kuchagua huna jinsi.

Sijaiona mpendwa,subiri nitaitafuta huwa nasikia ni nzuri.
 
Hahahahahaaaaa mimi ni Unni Nifah bwana,ulikosea kuchagua huna jinsi.

Sijaiona mpendwa,subiri nitaitafuta huwa nasikia ni nzuri.
Umenifanya nicheke mwenyewe sawa Unni mdogo Nifah itafute lazima utaipenda.
 
Korean celebrities waliokiri kufanya plastic surgery
wapo waigizaji wengi nchini korea ambao wamekuwa wakishutumiwa ya kwamba wamefanya upasuaji wa kubadili maumbile yao ya asili ila wengi wao wamekuwa wakikanusha juu ya suala hilo,ila wapo wengine ambao wamethibitisha kufanya upasuaji wa kubadili maumbile yao.

Lee si young : miaka 10 iliyopita amefanya upasuaji mara mbili na anaamini ya kwamba maumbile yake ya sasa hivi ndio ya asili,pia amesema haoni aibu kujificha kwa sababu mtu yoyote atakayeangalia picha zake za zamani ataona utofauti.miongoni mwa drama alizoigiza ni my beautiful brides ,boys over flower, kingdom of the wind, pooseidon
View attachment 464547 View attachment 464548
View attachment 464557


Lee da hae : ameigiza drama kama vile IRIS 2, slave hunter,hotel king, my girl, sababu kubwa iliyomfanya kufanya upasuaji na kua na umbile la sasa hivi ni kwamba hakuvutiwa na sura yake kwa sababu ilishabihiana na ya baba yake na pia alikuwa mnene kiumbile.

View attachment 464554 View attachment 464556

Kim hyun joong : ni muigizaji ambaye ameigiza tamthilia kama vile boys over flower,playfull kiss, inspiring generation na pia ni muimbaji ,alipokuwa mdogo alijigonga pua yake na jiwe (rock) jambo ambalo lilimpelekea kwenda kufanya upasuaji wa pua yake na kumtaka daktari airefushe pua yake.

images
View attachment 464561

Park min young : unaweza usiamini ila amethibitisha yeye mwenyewe yakwamba alifanya upasuaji wa kubadilisha umbile lake wakati akihojiwa na sports chosun na alisema ya kwamba.
“nilifanya upasuaji wa kuwa na double eyelid nilipokuwa junior high school,pia nilifanya upasuaji wa pua kwa sababu ilikuwa imepinda (crooked) pia aliendelea kusema alikuwa havutiwi na paji lake la uso na pia umbile lake kwani alikuwa ni kibonge”.miongoni mwa drama alizoigiza ni pamoja na city hunter,princess jamnyung n.k
View attachment 464565 View attachment 464566

Kyu hyun : unapotaja waimbaji wakali nchini korea ni lazima umtaje huyu bwana mdogo ambaye ni member anyeunda kundi la super junior na pia nyimbo zake zimetumika kama ni ost kwenye drama tofauti.wakati akihojiwa alisema “wazazi wangu walikuwa na double eyelid ila mimi nilikuwa sina”pia alikanusha habari za uvumi ya kwamba alifanya upasuaji wa pua.
View attachment 464567
Super-Junior-Kyuhyun_1441284722_af_org.jpg


Park hyo shin: ni best ballad singer ambapo mwaka 2009 kwenye tamasha la muziki aliwaambia mashabiki wake kuwa alifanya upasuaji wa macho yake nyimbo zake nyingi tu zimetumika kama ni ost katika tamthilia mbali mbali kama vile Iljimae, athena, daejoyoung.

Operasi+Plastik+Park+Hyo+Shin.jpg

Kwanghee(ze:a) : alipelekwa hospital na mama yake ambapo siku moja alisikika alimwambia mwanawe ya kwamba “kama unataka kuwa celebrity basi unapaswa kuwa na muonekano uliobora”ndipo kwanghee alipoamua kufanya kufanya upasuaji wa pua,macho,paji la uso.
images
View attachment 464571

Shin eun kyung: ameigiza drama kama vile oh my ghost,family secret,flames of desire,still you n.k ambapo aliamua kufanya upasuaji wa taya(jaw) aliamua kufanya upasuaji huo kwa sababu watu walishindwa kumuelewa sura yake kwa sababu walimchukulia kama ni mtu mwenye sura yenye hasira kila wakati.
View attachment 464572
Shin_Eun-Kyung-p02.jpg
well done mkuu kumbe jamaa wanaji pimp wavutie? kumbe na wao vile vimacho vyao vinawakera?
 
Kama una tablet ya ywnye processor download app inaitwa Dramania yani mle ni free downloads unashusha series tu, nilikua naidownload huko mpaka wamemaliza.
Dah asante mkuu hapa umetusaidia wengi sikua naijua hii app. Hapa namalizia kitu cha scarlet heart moon lovers. Mubashara from chumbani.
 
Embu hapa naomba tuvote kati ya Kim so hyun na gu jun pyo nani yuko vizuri katika kuigiza? uwezo kwa ujumla
eb376269bf13a1cee5737565615e64a0.jpg
8898111a525079dedec64893c27b49d0.jpg

uyu hap juu ndio Gu jun pyo ambae yuko pia kwenye ile series ya boys over flowers

na huyu hapa chini ndio Kim so hyun
6f5125cb06e26a858442dabd8370ed2b.jpg
8a7f1e2fdc463d65f3a6c701d50985d0.jpg


Kwa mimi binafs kusema ukweli kura yangu nampa Gu jun pyo jamaa yuko fiti sana..
 
Kama una tablet ya yenye processor ya ukweli download app inaitwa Dramania yani mle ni free downloads unashusha series tu, nilikua naidownload huko mpaka wamemaliza.
Mkuu hiyo application haiko playstore niwekee screen short ya logo yake
 
napenda incarination of money, faith, scholar who walks at night na boys over flower
 
wakuu ninaomba mniambie ni series gani mpya na weza kuipata yenye maadhi kama ya gwangaeto na jumong maana haya ndio maadhi ninayo yapenda
Tafuta series zifuatazo
1.emperor wang gun
2.emperor of the sea
3.king's dream
4.king dae jo yeong
5.yeom gae so mun
6.adimiral yi soo shin
7.king geonchoggo etc
 
Wakuu, kuna movie moja inaitwa THE VICTORY ina story ya vita/uhasama kati ya wachina na Wajapani, naweza ipataje!? Kwa nikipata link jinsi ya kuifikia moja kwa moja niwashukuru sana.
 
Back
Top Bottom