je kushafika hiyo safari yako, nimemkumbuka yule mchumba wake khantwe aliyesema ameangalia drama zote za wakorea. sikukuu ya karibia, ulininyima wali wa kirisimasi, hasira hazijaisha. hutaonja keki wala sambusa za dae. hata muhogo wa ramadhan hutauonja... bado nimenuna kama putin wa magogoni ikulu
mzee mrema anasema mahari ya mke wake ni million 1, mbona niliambiwa huko bara usukumani, uzaramoni na kwengineko unaweza kumuoa mwanamke kwa mahari ya chapati mbili zilizopikwa na bi salma kiuno?...imekuwaje tena mzee anarambwa million kwa mwanamke anayevaa vitenge kama muimbaji wa kwaya wa kundi la Mungu hapangiwi..... Numbisa kuja hapa mara moja, huyu ndugu yako Gyeoul ameamua kunidanganya. Naruhusu povu kwa aliye tayari.
Ila mzee mrema sidhani kama atatoboa pale, nadhani atakuwa tayari kusaidiwa.Kama keupe keupe Mzee kadanganya itakua kapunguza baadhi ya herufi mbele ya 1. Huku Usukumani mahari ng'ombe sio lakini kama wa mayeleππππna makorokoro kibao ila kwa vile kaoa nesi basi itakua halali yake maana binti anaenda kuuguza na sio kuishi na mumeππππ
Ila mzee mrema sidhani kama atatoboa pale, nadhani atakuwa tayari kusaidiwa.
military prosecutor doberman drama: hadithi yake ni ya wastani lakini inaleta mzuka wa kuiangalia. ni mara yangu ya kwanza kumuona ahn bo hyun akiwa muigizaji mkuu wa kiume(nimekumbuka ujinga wake ndani ya itaiwon class), ni mara yangu ya kwanza kuangalia kuangalia project ya mwanadada jo bo ah. baada ya miaka mitano hatimaye nimepata kuiona tena sura ya mwanamama oh yeo soo(sijui alipatwa na nini mpaka akapotea kwenye ulingo wa sanaa). ahn bo hyun + song kang + han so hee = workaholic trio. hawa viumbe hawachoki kufanya kazi, pengine damu ya ujana inawaongoza.View attachment 2162596
hapa nilipo kuna nyumba za polisi zimechakaa utadhani wanaishi paka wa malindi kule kunako mnada wa samaki, ukiangalia makaazi wanayoishi majeshi wa korea au polisi hata ukimpeleka baba mkwe anafurahia.Napenda military drama,medical,police za vyuoni kwao zipo poa sana. Hii ninaivuta kila wanapotoa ikiisha tu ninayo yote
vumbi la pemba lipoIla mzee mrema sidhani kama atatoboa pale, nadhani atakuwa tayari kusaidiwa.
pasaka hainitishi kwa sababu munakuwa na huzuni ya kuondokewa. au nimekosea?Yule jamaa muongo vikorea vingi sana hawezi angalia vyote.
Jamani si usahau tu tena pasaka hiooo inakaribia,usinitishie oohooo ntakunyima mwaliko kwa mara nyingineeee
pasaka hainitishi kwa sababu munakuwa na huzuni ya kuondokewa. au nimekosea?
hapa nilipo kuna nyumba za polisi zimechakaa utadhani wanaishi paka wa malindi kule kunako mnada wa samaki, ukiangalia makaazi wanayoishi majeshi wa korea au polisi hata ukimpeleka baba mkwe anafurahia.
lakini baadae si aliondoka na hajarudi tena...ok ulishawahi kula biryani la kipemba?... cha kufanya wewe ombea vita ifike kizimkazi kwao samia ili sikukuu isifanyike.uzuri biryani halipikwi kwa petroli ya urusi au ngano ya ukraine.TUTAKULA TU.Dae una manenoππππππ tunakua na furaha ya kufufuka. Huzuni ni ijumaa kuu
lakini baadae si aliondoka na hajarudi tena...ok ulishawahi kula biryani la kipemba?... cha kufanya wewe ombea vita ifike kizimkazi kwao samia ili sikukuu isifanyike.uzuri biryani halipikwi kwa petroli ya urusi au ngano ya ukraine.TUTAKULA TU.
Sijajaribu tena aisee vipi umepata suluhisho?
Wikiendi nitaanza na empress ki na king of tear lee bang wonThe empress ki niliikubali Sana mwanamama ha ji won aliitendea haki Sana aliibeba hii drama kwenye mabega yake. Naomba unitajie majina ya drama ya picha ya 2 na ya 5
Sawa ngoja nitajaribu nikituliaNdio yangu iligoma nikaenda upya telegram kuvuta file hilo hilo nikaongeza sh 20 ikakubali kudownload. Jaribu kulivuta file upya weka ka pesa kidogo inaweza kukubali