DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
military prosecutor doberman drama: hadithi yake ni ya wastani lakini inaleta mzuka wa kuiangalia. ni mara yangu ya kwanza kumuona ahn bo hyun akiwa muigizaji mkuu wa kiume(nimekumbuka ujinga wake ndani ya itaiwon class), ni mara yangu ya kwanza kuangalia kuangalia project ya mwanadada jo bo ah. baada ya miaka mitano hatimaye nimepata kuiona tena sura ya mwanamama oh yeo soo(sijui alipatwa na nini mpaka akapotea kwenye ulingo wa sanaa). ahn bo hyun + song kang + han so hee = workaholic trio. hawa viumbe hawachoki kufanya kazi, pengine damu ya ujana inawaongoza.