Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wale tuliokua tunafatilia young lady and a gentleman nadhani tutakua tumeridhishwa na bonge moja la happy ending!
Tutammis sana ms wang,sejong na dan dan wa kulia lia[emoji23]
Imenifurahisha sana..sijawahi kuangalia series ndefu halafu nisiruke vipande ila hii nimetulia mwanzo mwisho.

Ila ms Wang ni kiboko..pale alipotaka kujitosa majini akakuta ya baridi akaahirisha zoezi nilicheka sana[emoji23]
 
Imenifurahisha sana..sijawahi kuangalia series ndefu halafu nisiruke vipande ila hii nimetulia mwanzo mwisho.

Ila ms Wang ni kiboko..pale alipotaka kujitosa majini akakuta ya baridi akaahirisha zoezi nilicheka sana[emoji23]
Sana hii scene nami nilicheka sana aiseeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Alafu nimeona mitandaoni kumbe yule mr.lee na dandan ni couple kweli yani kwenye uhalisia,
 
Japo nilishawahi kuiangalia nikaimaliza na kuifuta nimevuta upya naiangalia amazing uhondo bado upo pale pale. Ukiwa na telegram hautapata shida ya files za ha tunnel ikikuzingua hii unafata lile ili mradi tu uyajue magrup ya ya files ukiwaomba wanakutumia fasta
Lete makitu..kwa sasa nimerudi kwa Wire Tun japo mwendo wa kobe ila nimefanikiwa kupata episode 3 za Love in the moonlight
 
Sana hii scene nami nilicheka sana aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu nimeona mitandaoni kumbe yule mr.lee na dandan ni couple kweli yani kwenye uhalisia,
No hawapo kwenye relationship labda umeona fake news au umemistake na best couple award kwenye kbs drama awards
 
Nitajaribu tena..nilishaikatia tamaa. Tangu wiki iliyopita inanigomea
 
Wale wa detective dramas Two cops ipo kwa ajili yako

Main actor tangu nimuone kwenye hospital playlist nafatilia drama zake za kutosha,kuna mr hong wa hometown chacha,kabinti kabishi kwa kwenye reply 1988
 
ramadhan haimzuwii muumini kupambana na mpinzani wake pindi kitufe cha amani kinapoharibiwa.mwaka huu tutapika mchuzi wa biryani japo kwa mafuta ya nazi, mafuta ya kupikia yamekuwa ghali kuliko mahari ya msichana wa kiarabu. cha uchoyo anasema huto onja,
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…