Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sure kabisa nakubaliana na wewe

Sejong the great katembelea misingi ya ya taejong (lee bang won).

Hii drama ya sasa na Wikipedia zinaonesha kwa kiasi gani lee bang won alikuwa mtu anaethubutu kuchukua maamuzi magumu hata kama hayapendi.

Japp jamaa anaonekana alikuwa katili anaua ua watu ovyo ila hakuwa anapenda hayo mambo ila situation zinamfanya hivyo na ukichunguza utagundu wote aliowaua walikuwa kama virus hatari kwa ustawi wa jeseon changa
 
Team bang won tuko hapa[emoji2]
 
Asante bibie kwahiyo information pia Kuna new drama ni nzuri mno inaitwa The secret house now nipo episode ya 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…