Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hii ni kama mimi vile ninavyowapigiaga kelele wanaowaita waigizaji kwa majina waliyotumia kwenye dramas.

Wa kwanza wanaonikera ni wanaomuita Lee Min Ho City Hunter,Song Il Gook Jumong na Park Min Young Kim Nana na wengineo.

Baada ya drama majina hayana kazi tena mengi yanajirudia mfano Yeon Hwa nishaliona kwa lead actresses kwenye drama zaidi ya 10.
 
watoto wenye mwaka mmoja hadi miwili wavumilie ila hawa wengineo walioanza kuangalia wakorea miaka minne nyuma wapige bakora kama ndugai. Teh teh teh hii comment numbisa asiione.
 
Leo umeniamulia😂😂😂😂😂Nilikula sana fimbo shuleni kisa kushindwa kukariri tebo leo hii nianze kukesha kukariri majina ya wasaniii akhuu. Ukiona nimeweka habari hapa ina jina halisi la msanii na sijakosea spelling jua nimeicopy sehemu😂😂😂😂
watoto wenye mwaka mmoja hadi miwili wavumilie ila hawa wengineo walioanza kuangalia wakorea miaka minne nyuma wapige bakora kama ndugai. Teh teh teh hii comment numbisa asiione.
kang chi,kim nana,healer,yumi hawa ni baadhi tu nisiowafahamu majina yao halisi halafu walaa sina dalili ya kuyatafuta😂😂😂😂
Ni kazi mno kuyashika majina. Ngoja nimalizie Once again bonge la family drama. ms parasite wa kwenye gentleman yupo. episode ya kwanza tu watoto wanne wa familia moja wanapata talaka na kurudi nyumbani. Episode 54 complete
 
Aiaee napata tabu sana kuya shika majina ya hawa actors wa korea haya kuyatamka sijui kama nayapatia .

Na vile wanavyofanana tabu tupu
 

Hahaha

Umejijua sasa
Yan kuna ile mama the idol ni balaa

Sasa nikimaliza masked singer sitaki kuanza nyingine, nashindwa kutizama drama kwa wakati kisa miziki ya kikorea imeninogea.

Ila hiyo home alone, nione raman zao maana wana mijengo hatar wale
 

Yaani jina nililikumbuka ila kuandika nikahis nakosea

Haya lee byung hun
 
Loan sharks wa kikorea lazima wavae shati za rangi rangi za kung'aa na maua maua 😂😂😂😂 kituko kwenye kujipulizia pafyumu full mbwembwe mtu anapulizia hewani halafu anajitupiapo eti atanukia vizuri daah
 
Yah nzuri sana halafu weekend ya jana ilikuwa nzuri ila inaumiza wale watoto wanafunzi waliopo in love wakajiachia hadi yule wa kike akapata ujauzito wanahaha kuutia na una miezi 6 na kuwaambia Baba zao ni ishu

Aaaah umespoil bila alert
Ila haina shida ilivyotamu hata haiishi hamu ukihadithiwa

Leo ndo nimeshusha episode nne zilizobaki

Lunchtime naanza ep 3 maana naiwazaa.
 
Temptation of an Angel had leo naitafta niirudiee[emoji23][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…