Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,411
- 3,077
Hii ni kama mimi vile ninavyowapigiaga kelele wanaowaita waigizaji kwa majina waliyotumia kwenye dramas.kuanzia leo tamka lee byung hun.umeshakuwa mtu mzima (legendary) kwenye huu ulimwengu wa hallyu stars. Unatakiwa uyajue majina yao kama unavyozijua nyimbo za diamond. Uzembe muachie Numbisa na wasukuma wenzake , kama huko kwao hawawezi kutamka neno urojo kwa usahihi wataweza kutamka majina ya wakorea, watakatika nyama za ulimi.
Wa kwanza wanaonikera ni wanaomuita Lee Min Ho City Hunter,Song Il Gook Jumong na Park Min Young Kim Nana na wengineo.
Baada ya drama majina hayana kazi tena mengi yanajirudia mfano Yeon Hwa nishaliona kwa lead actresses kwenye drama zaidi ya 10.