Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

kuanzia leo tamka lee byung hun.umeshakuwa mtu mzima (legendary) kwenye huu ulimwengu wa hallyu stars. Unatakiwa uyajue majina yao kama unavyozijua nyimbo za diamond. Uzembe muachie Numbisa na wasukuma wenzake , kama huko kwao hawawezi kutamka neno urojo kwa usahihi wataweza kutamka majina ya wakorea, watakatika nyama za ulimi.
Hii ni kama mimi vile ninavyowapigiaga kelele wanaowaita waigizaji kwa majina waliyotumia kwenye dramas.

Wa kwanza wanaonikera ni wanaomuita Lee Min Ho City Hunter,Song Il Gook Jumong na Park Min Young Kim Nana na wengineo.

Baada ya drama majina hayana kazi tena mengi yanajirudia mfano Yeon Hwa nishaliona kwa lead actresses kwenye drama zaidi ya 10.
 
watoto wenye mwaka mmoja hadi miwili wavumilie ila hawa wengineo walioanza kuangalia wakorea miaka minne nyuma wapige bakora kama ndugai. Teh teh teh hii comment numbisa asiione.
 
Leo umeniamulia😂😂😂😂😂Nilikula sana fimbo shuleni kisa kushindwa kukariri tebo leo hii nianze kukesha kukariri majina ya wasaniii akhuu. Ukiona nimeweka habari hapa ina jina halisi la msanii na sijakosea spelling jua nimeicopy sehemu😂😂😂😂
watoto wenye mwaka mmoja hadi miwili wavumilie ila hawa wengineo walioanza kuangalia wakorea miaka minne nyuma wapige bakora kama ndugai. Teh teh teh hii comment numbisa asiione.
kang chi,kim nana,healer,yumi hawa ni baadhi tu nisiowafahamu majina yao halisi halafu walaa sina dalili ya kuyatafuta😂😂😂😂
Hii ni kama mimi vile ninavyowapigiaga kelele wanaowaita waigizaji kwa majina waliyotumia kwenye dramas.

Wa kwanza wanaonikera ni wanaomuita Lee Min Ho City Hunter,Song Il Gook Jumong na Park Min Young Kim Nana na wengineo.

Baada ya drama majina hayana kazi tena mengi yanajirudia mfano Yeon Hwa nishaliona kwa lead actresses kwenye drama zaidi ya 10.
Ni kazi mno kuyashika majina. Ngoja nimalizie Once again bonge la family drama. ms parasite wa kwenye gentleman yupo. episode ya kwanza tu watoto wanne wa familia moja wanapata talaka na kurudi nyumbani. Episode 54 complete
kuanzia leo tamka lee byung hun.umeshakuwa mtu mzima (legendary) kwenye huu ulimwengu wa hallyu stars. Unatakiwa uyajue majina yao kama unavyozijua nyimbo za diamond. Uzembe muachie Numbisa na wasukuma wenzake , kama huko kwao hawawezi kutamka neno urojo kwa usahihi wataweza kutamka majina ya wakorea, watakatika nyama za ulimi.
 
kuanzia leo tamka lee byung hun.umeshakuwa mtu mzima (legendary) kwenye huu ulimwengu wa hallyu stars. Unatakiwa uyajue majina yao kama unavyozijua nyimbo za diamond. Uzembe muachie Numbisa na wasukuma wenzake , kama huko kwao hawawezi kutamka neno urojo kwa usahihi wataweza kutamka majina ya wakorea, watakatika nyama za ulimi.
Aiaee napata tabu sana kuya shika majina ya hawa actors wa korea haya kuyatamka sijui kama nayapatia .

Na vile wanavyofanana tabu tupu
 
umenichekesha sana, kwa maana hiyo kwa mujibu wa comment yako nimekuwa kibilisi fitina, mchonganishi, kuwadi na mchochezi. Kwenye ulimwengu wa geopolitics nimekuwa mmarekani wa kipemba na kazi yangu kubwa ni kuchochea migogoro ya mataifa mengineyo huku baadae najiweka pembeni. Kwa mara yangu ya kwanza nimeiona sura yako halisi uliokuwa ukiificha kwa kutumia majani ya mgomba, kumbe nyinyi wasichana wa machame moshi uchagani ni wakorofi kuliko kinywaji chenu cha mbege, gwenchanah gwenchanah. Nimelipokea povu lako la malalamiko na makasiriko mfano wa nursey anayefanza kazi wodi ya wazazi, haya kuanzia kesho chochote utakachoangalia wewe na mimi nitaangalia sasa sijui remote atakamata nani. Halafu ni kama vile umeingia kwenye kiwiliwili changu, nilijua huo mtego wa namgoong min utakukamata. Teh teh teh wasukuma wa kipemba wabayaa. Haya sasa nenda kalalamike kwa mama suluhu, mimi nitakwenda kumlalamikia shoga yake kipenzi mama sufa.

Hahaha

Umejijua sasa
Yan kuna ile mama the idol ni balaa

Sasa nikimaliza masked singer sitaki kuanza nyingine, nashindwa kutizama drama kwa wakati kisa miziki ya kikorea imeninogea.

Ila hiyo home alone, nione raman zao maana wana mijengo hatar wale
 
kuanzia leo tamka lee byung hun.umeshakuwa mtu mzima (legendary) kwenye huu ulimwengu wa hallyu stars. Unatakiwa uyajue majina yao kama unavyozijua nyimbo za diamond. Uzembe muachie Numbisa na wasukuma wenzake , kama huko kwao hawawezi kutamka neno urojo kwa usahihi wataweza kutamka majina ya wakorea, watakatika nyama za ulimi.

Yaani jina nililikumbuka ila kuandika nikahis nakosea

Haya lee byung hun
 
Loan sharks wa kikorea lazima wavae shati za rangi rangi za kung'aa na maua maua 😂😂😂😂 kituko kwenye kujipulizia pafyumu full mbwembwe mtu anapulizia hewani halafu anajitupiapo eti atanukia vizuri daah
 
Yah nzuri sana halafu weekend ya jana ilikuwa nzuri ila inaumiza wale watoto wanafunzi waliopo in love wakajiachia hadi yule wa kike akapata ujauzito wanahaha kuutia na una miezi 6 na kuwaambia Baba zao ni ishu

Aaaah umespoil bila alert
Ila haina shida ilivyotamu hata haiishi hamu ukihadithiwa

Leo ndo nimeshusha episode nne zilizobaki

Lunchtime naanza ep 3 maana naiwazaa.
 
Tangia naanza kuangalia K-dramaz hizi ndizo nimebahatka kuzioma...
-JUMONG
-EMPEROR OF THE SEA
-THE LAND OF WIND
-THE SLAVE HUNTERS
-EMPRESS KI
-GU FAMILY BOOK
-JOSEON GUNMAN
-KIM SOO ROO
-SWALLOW THE SUN
-GIANT
-49 DAYS
-INSPIRING GENERATION
-BRIDAL MASK
-GHOST
-GOLDEN CROSS
-TEMPTATION OF AN ANGEL
-HEARTLESS CITY
-BOYS OVER FLOWER
-PERSONAL TEST
-FAITH
-TRIANGLE
-ARROW ON THE BOW STRING
-A MAN CALLED GOD
-PAINTER OF WIND
-CITY HUNTER
-..........

nyingine nimezisahau.....
Na sasa naangalia The night Watchman....

Em taja ulizoziona na ww....
Temptation of an Angel had leo naitafta niirudiee[emoji23][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Back
Top Bottom