Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Jamani wenzetu mnafaidi.... Tusaidieni na wengine basi
 
Mi wa kiume Kaka.... Na napenda drama za kipelelezi na za kupigania ufalme zenye mambo ya kihistoria mfano jumong
Angalia "The empress ki" kuna nyingine za mjini ni Kali mno "Innocent Defendant" utaikuta nkiri.com kwa jina la Defendant na nyingine inaitwa " Vagabong" na nyingine ya ziada ni "Watcher" .Mzee hizo zote nilizokutajia utafurahi kwa roho yako zina story Kali, mtiririko mazuri wa story , zina akili Mingi.
 
Mi wa kiume Kaka.... Na napenda drama za kipelelezi na za kupigania ufalme zenye mambo ya kihistoria mfano jumong
Angalia "The empress ki" kuna nyingine za mjini ni Kali mno "Innocent Defendant" utaikuta nkiri.com kwa jina la Defendant na nyingine inaitwa " Vagabong" na nyingine ya ziada ni "Watcher" .Mzee hizo zote nilizokutajia utafurahi kwa roho yako zina story Kali, mtiririko mazuri wa story , zona akili
 
Hapa Sasa tuko sambamba... Nadhan tutaelewana Sasa...... Thanks brother...... Tuje kwenye vpn Sasa hapo tunafanyaje maana bando nalo limepanda
 
Hapa Sasa tuko sambamba... Nadhan tutaelewana Sasa...... Thanks brother...... Tuje kwenye vpn Sasa hapo tunafanyaje maana bando nalo limepanda
Series ya Defendant ipo kwenye website ambayo inatumia mb chache nkiri.com the same to "The empress ki" ila nakushauri anza na "Defendant" kuicheki kuhusu suala la vpn hiyo sina ujuzi nao mfuate Numbisa yeye ndio anajua zaidi
 
Ndio nimetoka kushusha episode 5 hapa, ngoja nikitulia nianze kufyonza moja baada ya nyingine. OCN huwa nawakubali sana, series zao asilimia kubwa ni kali sana.
Papaa Gx Mwanachelsea mwenzangu me nikishakwambia hii series Kali ujue ni Kali mno sijawahi kupenda movie za kitoto na za ovyo nikiona mtu anapenda series za taste zangu huyo huyo nam'gan'gania
 
Nimeshaeleza comments za nyuma kama hawezi kuzitafuta sina msaada zaidi ya hapo
Series ya Defendant ipo kwenye website ambayo inatumia mb chache nkiri.com the same to "The empress ki" ila nakushauri anza na "Defendant" kuicheki kuhusu suala la vpn hiyo sina ujuzi nao mfuate Numbisa yeye ndio anajua zaidi
 
imani yangu:
mahusiano yangu dhidi ya Numbisa yatakuwa hivi baada ya kumalizikia kwa sherehe ya eid isiokuwa na mualiko kwake, naamini hatokuwa na hasira tena, wala chukizo dhidi yangu.
waswahili wanasema kukosea njia ndio kujua njia, tuendelee kuitafuta furaha hata kama inapatikana maeneo ya jeju
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Bado siamini Idd imeisha bila mualiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…