Magere Cheops
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 213
- 306
Jamani wenzetu mnafaidi.... Tusaidieni na wengine basiShukrani zangu za dhati ziende kwa wale wanacomment kwenye hizi websites za kikorea walipendekeza kuwepo na drama ya "Watcher" dah! Hii drama ni moto ina unyama mwingi sana kuna Mingi imetumika na kila episode inapoisha unatamani uitazame next episode wakorea wanajua kwa kweli