Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Una utani na ningeee😂😂😂😂 kwa ninge full draft mazaga mazaga tele la mapochopocho
si niliona kadi ya mualiko kutoka kwa nigendako, ndio nikakosa nguvu ya kukualika baada ya kushuhudia umepokea mualiko wa dume suruali
 
Copy and paste

arthadal chronicles season 2 inatarajiwa kuanza kushutiwa ila sasa cast wamebadilishwa kutoka song joong ki na kim jiwon hadi kuja wapya ambao ni lee joon gi wa kwenye moonlovers na shin sekyung..
Ka Kim ji won sijui kwa nini sikapendi kale kadada...kamenifanya hadi Leo sijaangalia Fight for my way
 
Leo umeniamulia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikula sana fimbo shuleni kisa kushindwa kukariri tebo leo hii nianze kukesha kukariri majina ya wasaniii akhuu. Ukiona nimeweka habari hapa ina jina halisi la msanii na sijakosea spelling jua nimeicopy sehemu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kang chi,kim nana,healer,yumi hawa ni baadhi tu nisiowafahamu majina yao halisi halafu walaa sina dalili ya kuyatafuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni kazi mno kuyashika majina. Ngoja nimalizie Once again bonge la family drama. ms parasite wa kwenye gentleman yupo. episode ya kwanza tu watoto wanne wa familia moja wanapata talaka na kurudi nyumbani. Episode 54 complete
Hao usiowafahamu niLee seung gi
Park min young
Ji Chang wook
Kim Go eun
Ingawa sijaulizwa naanza kukufundisha kuanzia leo
 
Loan sharks wa kikorea lazima wavae shati za rangi rangi za kung'aa na maua maua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kituko kwenye kujipulizia pafyumu full mbwembwe mtu anapulizia hewani halafu anajitupiapo eti atanukia vizuri daah
[emoji16][emoji16][emoji16] yaani nikiona tu mtu kavaa shati la maua najua ehee tayari...ni either loan shark au gangster fulani hivi
 
Asante sana maana dae alinidondoshea gazeti reeefuuuu la kuninyima mualiko wa Idd[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daemushin nshapata mwalikooo.


Drama zipo tele halafu siku hizi nimehamia family drama mazima episode 50 ila burudani kama zote.
Mimi nimejiwekea malengo kwa mwaka nitaangalia family drama mbili tu
 
Uhm Ki Joon confirmed cast for tvN drama Little Women, he will act as Park Jae-sang who is a new politician related to the huge incident that the three sisters will be swept away and will take the lead in the story.
Broadcast in 2022.
View attachment 2204913

Kim Go Eun
Nam Ji Hyun
Park Ji Hu
Uhm Ji Won​
Huyu bwana Um mwambie atupumzishe kwanza
 
Pole yake kamepoteza fan muhimu😂😂😂
Ka Kim ji won sijui kwa nini sikapendi kale kadada...kamenifanya hadi Leo sijaangalia Fight for my way
Naona katika harakati za kusaka au kukamata chance nzuri ka kim go eun nako kakaigiza movie aina ya frozen daah
Hao usiowafahamu niLee seung gi
Park min young
Ji Chang wook
Kim Go eun
Ingawa sijaulizwa naanza kukufundisha kuanzia leo
 
Back
Top Bottom