Nakupenda Numbisa😘Sagulaga(chagua)
Rookie Historian Goo Hae Ryung
Episode 39-40
Forest
Episode 32
Hospital PlaylistHi Bye, Mama!
Episode 16
Hi Bye, Mama!
Episode 16
While You Were Sleeping
Episode 32
Descendants of the Sun
Episode 16
Fight for My Way
Episode 16
Hwarang
Episode 20
What's Wrong With Secretary Kim
Episode 16
Touch Your Heart
Episode 16
Bring It On, Ghost
Episode 16
Healer
Episode 20
Romantic Doctor, Teacher Kim 2
Episode 16
The Liar and His Lover
Episode 16
RADIO ROMANCE
Episode 16
100 Days My Prince
Episode 16
The King in Love
Episode 40
My Sassy Girl (2017)
Episode 32
Coffee Prince
Episode 17
To The Beautiful You
Episode 16
Siku hizi kuna nini mbona sizipati Korean drama Youtube kama zamani ? maana nilikuwa na mtindo wa kumaliza sizoni YouTube sasa mpk za zamani zilizokuwa Youtube sizipati.
Nakupenda Numbisa😘
Kuna wire nyingine ya siri nini ?mbona wire yangu haitoboi hata dkk 10 inakata na hiyo Server haipo kabisa.Aisee wire huwa inanibariki sana usiku kuanza saa tisa hadi saa 12 alfajiri
Unashusha epsode tano au sita za siku nzima na kesho tena unashusha mzigo
Huwa na natumia server za marekani hasa ile NY
Line ya mtandao gani?Aisee wire huwa inanibariki sana usiku kuanza saa tisa hadi saa 12 alfajiri
Unashusha epsode tano au sita za siku nzima na kesho tena unashusha mzigo
Huwa na natumia server za marekani hasa ile NY
Zipo japo kuwa sio zote. Kuna channel zao official kama SBS world, KBS, n. K.. wanapandsha drama fullSiku hizi kuna nini mbona sizipati Korean drama Youtube kama zamani ? maana nilikuwa na mtindo wa kumaliza sizoni YouTube sasa mpk za zamani zilizokuwa Youtube sizipati.
Vip zinakuwaga na english subtitle?Zipo japo kuwa sio zote. Kuna channel zao official kama SBS world, KBS, n. K.. wanapandsha drama full
Zama Ilkpop.com unapata zote,hii total songs yote yangu ni za Kikorea tupuMsaada wa wapi naweza download nyimbo za kikorea, nna hii playlist lakin youtube ina limit
Usiku.mnene inatulia inagonga speedKuna wire nyingine ya siri nini ?mbona wire yangu haitoboi hata dkk 10 inakata na hiyo Server haipo kabisa.
TtclLine ya mtandao gani?
NdiyoVip zinakuwaga na english subtitle?
Aiseeh ni hatarii[emoji91][emoji91]... Kuna zile ost maarufu kama za kwenye legend of blue sea "this is love story... [emoji445][emoji445]Zama Ilkpop.com unapata zote,hii total songs yote yangu ni za Kikorea tupuView attachment 2244408