Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Original bibie shule nilienda kufanya nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] why nisiangalie na watoto? hata wa miaka 2? toto lenyewe nikikaa sebuleni na yy kashafika
[emoji23] [emoji23] nadhani anaongelea wale ambao wanaweza kuangalia muvi wakaelewa..wa miaka miwili sasa anajua nini
 
Hivi ulishaangalia My Young Wol The Spy?Naipenda sana.
Road # 1 je?
Halafu kuna Hotel King
My lovable girl
Kim Soo Ro
Hong Gil Dong
Kama kuna ambayo hujaangalia hapo icheki
cc johnsonmgaya Clkey Shark
List imeongezeka
Yes mydear hapo ambayo sijaangalia ni my lovable girl ngoja niitafute....asante.
 
A man called God na Iris kwangu bado ni drama ninazozihusudu sana japo niliacha kuziangalia baada ya kuona nakuwa addicted nazo.
 
Kingdom of the wind
Empress ki
Gu family book
Legend
The princess man
The pirates
Tree with deep roots
War of the arrows
Six flying dragons
Hong gil dong
Iljimae zote...
Nyingine umeshatajiwa na Nifah...ukimaliza hizo tutakuongezea list.
Hayaa,
Ahsante sana ubarikiweeee
 
Halafuuuu,
Wapi nita download episodes zikiwa nzima nzima??
Maana naona Dramacool, DramaCrazy wanakata kata, eti wanaweka 1A, 1B, 1C na 1D una download weee mpaka unachoka
Mi natumia application ya videoder kwa njia ya simu ni full eps kwa eps
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…