Wapi nimeonesha nina uspecial hiyo vagabond na VIP zote nimepata humu jukwaani tena VIP ulinitajia wewe mwenyewe au umesahau Tena nilikuomba unitajie drama inahusiana na mambo ya kusaliti wewe ukanitajia VIP na nikweli ni Moja Kati ya drama Kali niliyoicheki. kitu ambacho nakiona unachanganya ni kwamba kuna tofauti ya kupenda na kutopenda drama hiyo ipo wazi na hii ni kutokana na ladha ya muhusika ila tukija kwenye kusema hii drama ni nzuri au mbaya tunaangalia facts kiujumla bila kujali mapenzi husika ya mtu mfano drama ya Pachinko imetrending Sana na nawengi wameipenda na ukichunguza hao waliopenda ni kwasababu imechezwa na Lee mi ho na wengine watasema kuna wadada wazuri humo ndani lakini tukija kuangalia facts tunasema ni drama mbovu kwanza haina story ya kueleweka pili haina mtiririko mzuri wa story kwasababu hili movie au drama iitwe nzuri kitu Cha kwanza tunaangalia storyline yake vigezo vingine ndio vinafuataTatizo lako huwa unaona bila wewe tusingeifahamu innocent defendat,the veil and the co wakati watu walifahamu hata kabla hazijashutiwa kupitia spoilers kijana punguza kujiona special kwamba kila unachokishabikia basi na wengine lazima wakishabikie. Vagabond haukuirecommend humu kila mtu alikua anaisubiria kwa hamu amuone kangchii na suzy
Al-Hadidy,Franky Samuel,Kheri007,daemushin hawa ni baadhi ya waliotuletea connection mbali mbali humu na hawajawahi kutaka credit kwa nguvu ila wewe mtu akiisifia empress ki au innocent defendat unakurupuka huko na hati miliki zako za kubumba pheeew. Punguza ujuaji