Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Tatizo lako huwa unaona bila wewe tusingeifahamu innocent defendat,the veil and the co wakati watu walifahamu hata kabla hazijashutiwa kupitia spoilers kijana punguza kujiona special kwamba kila unachokishabikia basi na wengine lazima wakishabikie. Vagabond haukuirecommend humu kila mtu alikua anaisubiria kwa hamu amuone kangchii na suzy

Al-Hadidy,Franky Samuel,Kheri007,daemushin hawa ni baadhi ya waliotuletea connection mbali mbali humu na hawajawahi kutaka credit kwa nguvu ila wewe mtu akiisifia empress ki au innocent defendat unakurupuka huko na hati miliki zako za kubumba pheeew. Punguza ujuaji
Wapi nimeonesha nina uspecial hiyo vagabond na VIP zote nimepata humu jukwaani tena VIP ulinitajia wewe mwenyewe au umesahau Tena nilikuomba unitajie drama inahusiana na mambo ya kusaliti wewe ukanitajia VIP na nikweli ni Moja Kati ya drama Kali niliyoicheki. kitu ambacho nakiona unachanganya ni kwamba kuna tofauti ya kupenda na kutopenda drama hiyo ipo wazi na hii ni kutokana na ladha ya muhusika ila tukija kwenye kusema hii drama ni nzuri au mbaya tunaangalia facts kiujumla bila kujali mapenzi husika ya mtu mfano drama ya Pachinko imetrending Sana na nawengi wameipenda na ukichunguza hao waliopenda ni kwasababu imechezwa na Lee mi ho na wengine watasema kuna wadada wazuri humo ndani lakini tukija kuangalia facts tunasema ni drama mbovu kwanza haina story ya kueleweka pili haina mtiririko mzuri wa story kwasababu hili movie au drama iitwe nzuri kitu Cha kwanza tunaangalia storyline yake vigezo vingine ndio vinafuata
 
Ujumbe umeshakufikia. Fanyia kazi hayo mapungufu

Nzuri nimependa story yake nimejua mengi yanayowatokea mastaa wa huko. Staa hata akipiga chafya keshazua skendo ya kuandikwa mitandaoni😂😂😂😂.

Actor atakayemuwin Cinderella huwa sielewi igiza yake.
Shooting stars ni nzuri eeh? Sasa hivi nipo naangalia Cinderella and the four knights
 
Nzuri nimependa story yake nimejua mengi yanayowatokea mastaa wa huko. Staa hata akipiga chafya keshazua skendo ya kuandikwa mitandaoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Actor atakayemuwin Cinderella huwa sielewi igiza yake.
Daah yaani wewe, humuelewi my honey Jung Il woo? Mimi nampenda kufa, hata hii Cinderella nilianza kuangalia kwa sababu yake lakini nimejikuta hum nampenda zaidi huyu mume wa Ku hye sun, amechangamka balaa sio kama kwenye love with flaws sijamuelewa kabisa
 
Simuelewi yaani halafu hata sio handsome💃💃💃💃sema ex mume umenikumbusha masuala ya sexy nipples😂😂😂😂😂
Daah yaani wewe, humuelewi my honey Junh Il woo? Mimi nampenda kufa, hata hii Cinderella nilianza kuangalia kwa sababu yake lakini nimejikuta hum nampenda zaidi huyu mume wa Ku hye sun, amechangamka balaa sio kama kwenye love with flaws sijamuelewa kabisa
 
Simuelewi yaani halafu hata sio handsome[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]sema ex mume umenikumbusha masuala ya sexy nipples[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwendraaa... Bonge la handsome yule halafu mtoto wa kishua. Hiyo sexy nipples kila nikikumbuka nacheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakyanani wakorea kwa vituko...inaonekana ana damu ya kupendwa maana angekuwa mwingine netizens wangemuwakia balaa
 
Usiiache nzuriii,kuna vistory ndani yake awesome kila mmoja kaitendea haki nafasi aliyopewa.

Humu ndio utaona jinsi mastaa wanavyokurupuka kuona sababu ya kupendana,kupeana mimba location kisha mbeleni wanagundua hawaendani na divorce juu
Hii sababu ikafanya nisiendelee na hii series [emoji23][emoji23]
Nimeishia episode ya 3 nikaona simuelewi mdada nimeipumzisha kwanza
 
Usiiache nzuriii,kuna vistory ndani yake awesome kila mmoja kaitendea haki nafasi aliyopewa.

Humu ndio utaona jinsi mastaa wanavyokurupuka kuona sababu ya kupendana,kupeana mimba location kisha mbeleni wanagundua hawaendani na divorce juu
Na mimi nitaiangalia, nikimaliza Cinderella itafuata strongest delivery man kisha itafuata hiyo
 
Back
Top Bottom