nilibahatika kuiangalia episodes mbili za mwanzoni, nilipoona lee min ki na kim ji won ni ndugu wa damu hatimaye niliamua kuachana nayo.Sie wa ongoin tumemalizana na libertaion Notes
just between lovers drama nimeitazama mwaka 2021.Wapenzi wa romance drama kuna hizi nzuri
Just between lovers,
Shooting stars,
Dali and the cocky prince,
Kuna be melodramatic though hii inajikita zaidi na maisha na mambo yake kama huzuni,confusion,kuachwa na kupendana!
Tukishamaliza KING OF THE TEARS tunaenda wapi kupata utawala wa sejong
hii JF haina siri tena😛😛Daemushin is typing😂😂😂💃💃💃
tokea ulipovunja mahusiano yetu nimeishiwa hamu ya kukusaidia kwa lolote lile, hata hii account hutoirithi pindi nitakapokufa. nilitegemea baada ya kuvunja mahusiano ya babu na mjukuu utakuwa na uwezo wa kujitegemea kumbe bado una ujinga mwingi namna hii.Ndugu zangu naomba tusaidiane nahitaji korean drama Kali nicheki weekend Hii angalizo sipendi ziwe na hiv vitu
Shukran sana
- the great king sejong drama : utafanya tena marejeo ya maisha ya taejong (yi bang won) akiwa madarakani mpaka kufa kwake, pia utajifunza maisha ya mwanawe (yi do) akiwa mtoto hadi kuwa mfalme (sejong). Imebeba episodes 80. utajifunza jinsi sejong alivyochukua upande tofauti wa kisiasa wa kudeal na maswala mbali mbali ya kidiplomasia ya ndani na nje, ushawishi wa kihoja dhidi ya wapinzani wake (hakutumia nguvu kama baba yake), recruitment ya viongozi na wataalamu isiyoangalia status ya mwananchi (hapo ndipo alipowapata wataalamu mfano wa jang yeong sil aliyekuwa na status ya utumwa). kubwa zaidi sejong alitengeneza herufi za korea (hangul)
- jang yeong sil drama : maisha ya mwanasayansi, engineer, mtaalamu wa anga aitwae jang yeong sil chini ya utawala wa sejong, alifanya mambo makubwa sana na ya kukumbukwa.
Ila we jamaa una ujinga mwingi unatuondolea stress anyway Asante mkuu kwa list ulionipa Moja hapo ndio sijaicheki hiyo ya 3 ila hizo zote mbili nimeshazichekitokea ulipovunja mahusiano yetu nimeishiwa hamu ya kukusaidia kwa lolote lile, hata hii account hutoirithi pindi nitakapokufa. nilitegemea baada ya kuvunja mahusiano ya babu na mjukuu utakuwa na uwezo wa kujitegemea kumbe bado una ujinga mwingi namna hii.
mpaka leo umeshindwa kuifahamu vilivyo kazi ya google.
ngoja nikusaidie kwa mara ya mwisho
- money flower drama
- lawless lawyer drama
- the fiery priest drama
usiku mwemaShukran sana
Hotel del lunahawa ndugu wawili wanapaswa kutunukiwa heshima ya malkia wa fantasy na magic story.
wanaitwa hong sisters (hong jung eun na hong mi ran), dramas walizoandika zilizobeba maudhui hayo ni:
umeona ngapi?
- alchemy of souls - 2022
- hotel del luna - 2019
- a korean odyssey / hwayugi - 2017
- the masters sun - 2013
- my girlfriend is gumiho - 2010
Jambo la muhimu isiwe copy and paste iwe na utofauti kidogo na original yake tofauti na hapo itapoteza mvutoMoney heist version ya kikorea out kesho 24 june, natumai itakuwa vizuri cast imejumuisha ma-veteran wengi
Naisubiri kwa hamu sana!!
hawa ndugu wawili wanapaswa kutunukiwa heshima ya malkia wa fantasy na magic story.
wanaitwa hong sisters (hong jung eun na hong mi ran), dramas walizoandika zilizobeba maudhui hayo ni:
umeona ngapi?
- alchemy of souls - 2022
- hotel del luna - 2019
- a korean odyssey / hwayugi - 2017
- the masters sun - 2013
- my girlfriend is gumiho - 2010
Yeah.. itanoga zaidi ya sana, Heist itafanyikia Seoul sijui[emoji23][emoji23]Jambo la muhimu isiwe copy and paste iwe na utofauti kidogo na original yake tofauti na hapo itapoteza mvuto
Dah hivi hakuna kamseleleko kengine? Ha tunnel imenigomea kabisa, wiretun nayo shida naona imefika muda nistaafu sasa