Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ha tunnel bado ipo on fireee,badili nchi na server na sehemu ya kutafutia file ili uwe unazipata kila inapokugomea. Wiretun pia kwa kuperuzi na kuangalia video you tube bado inanipa burudani.
File nikipakua telegram kwenye simu halionekani, pia nilijaribu kubadili kama ulivyonielekeza siku ile bado hakubali
 
Jang yeong sil nahisi ndio muvi pekee ya mwanangu Song ll gook ambayo sikuimalizia , sijui kwa nini niliona imepoa sana sikuwa na mzuka wa kuendelea nayo niliishia episode ya 3.
 
File nikipakua telegram kwenye simu halionekani, pia nilijaribu kubadili kama ulivyonielekeza siku ile bado hakubali
Ukimaliza kupakua, nenda kwenye original post ya hilo file kule kwenye chats, click kwenye vile vinukta vitatu vilivyopo pembeni (top right), utaletewa options, chagua save to downloads au save to gallery (chagua moja wapo inatosha).
View attachment 2270934
 
Naomben update kuhusu Money heist ya kikorea
For me sijaipenda siwezi kuangalia kitu ambacho kipo copy and paste sijui hapo unaangalia kitu gani, kwa mtu ambaye ajaicheki money heist original hii ataipenda lakini kwa sisi ambao tushaangalia original yake tulitegemea angalau hii ya kikorea igebadilika kidogo ili ilete mvuto kwa watazamaji lakini hola
 
Sio mbaya sana mi Original nimeicheki hata hii nimeipenda kasoro kucopy umagharibi kauli za matusi na explicit scenes.
 
orijino sijawahi iangalia ila hii ya korea nimevuta episode mbili ,sijaipenda hapo kwenye umagharibi,wangeiweka kivyao(kikorea) ila nadhani masharti ya Netflix na copyrights yaliwabana.. Asilimia kubwa za korean drama zenye nembo ya netflix huwa sizielewi hazina ladha kama zenye nembo za tv za kikorea
Sio mbaya sana mi Original nimeicheki hata hii nimeipenda kasoro kucopy umagharibi kauli za matusi na explicit scenes.
 
That's why nilishasemaga huwa naangalia dramas zenye icons za tv networks tu zaidi ya hapo nyingine huwa napata tabu kutazama.

Ile scene ya episode ya 6 sio type yangu
 
Itabidi nivumilie niangalie mdogo mdogo mpaka episode 6 nimejikuta natamani nione kilichomo😂😂😂😂😂
That's why nilishasemaga huwa naangalia dramas zenye icons za tv networks tu zaidi ya hapo nyingine huwa napata tabu kutazama.

Ile scene ya episode ya 6 sio type yangu
 
Mambo ni yaleyale kutoka kwenye OG yake.

Nimeshusha episodes zote 6, laiti ningejua ndio yaleyale nisinge hangaika nayo. View attachment 2271712
Hata mimi wameniboa Sana nashukuru nimeangalia episode 1 ingekuwa ni medownload episode zote sijui ingekuaje watu tumeshindwa kupata kitu kipya yaani wamekosea Sana kucopy na kupest
 
Mambo ni yaleyale kutoka kwenye OG yake.

Nimeshusha episodes zote 6, laiti ningejua ndio yaleyale nisinge hangaika nayo. View attachment 2271712
Kwa ambao tulianza kufuatilia updates zake tangu mwaka jana mwanzoni wanatangaza hatuwezi kuwa frustrated kwa sababu walishasema ni remake.

Mjue kutofautisha kati ya remake na adaptation.

Kwa wataotaka adaptation waongeze yao[emoji23]

Sie tunaangalia na upya kukiwa na sura tunazozipenda
 
Sio zote zinanzo nilikuwa na netflix zina hayo mambo mfano mzuri The evil, say my name nadhani ni wao wenyewe kucopy na kupest original yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…