Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
File nikipakua telegram kwenye simu halionekani, pia nilijaribu kubadili kama ulivyonielekeza siku ile bado hakubaliHa tunnel bado ipo on fireee,badili nchi na server na sehemu ya kutafutia file ili uwe unazipata kila inapokugomea. Wiretun pia kwa kuperuzi na kuangalia video you tube bado inanipa burudani.