Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Vitu vingi nadhani vinavyoonekana kwenye dramas vina existence kwao,kama bullying tu ipo vingine haviwezi kosa.
Zile conglomerate ndio usiseme za kutosha na wana life lao kama yule Lee Yi Kyung aliyecheza Waikiki,Mirror of the witch n.k ni mtoto wa CEO wa LG

Basi kuna ile hafla ya tuzo za KBS drama 2021 alimpigia simu Mama yake akamuita mpenzi akimpa taarifa kuwa kashinda tuzo basi na Maza ake alivyojibu ilikuwa ni vicheko ukumbi mzima.

Muite Mama wa kibongo mpenzi anakupa laana[emoji23][emoji23]

Anyway but napenda kuona wanavyotabasamu muda wote hata kama wana maumivu moyoni
Huyo Lee yi kyung nasikia anavyoanza career yake alikimbia kwao akaenda kupanga chumba na kufanya part time kwenye book store. Yaani mtu anaacha mapesa nyumbani anaenda kufanya part time jobs mweeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio nikajua kumbe wanavyoigiza ni kweli huwa yanatokea huko kwao
 
Natamani bathhouses zao,kuna kila kitu mule ndani. Zipo kila kona na bei chee,huku bongo mtu anazaliwa mpaka anakufa hajaingia sauna jamani jamani tunakosa vingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba bongo zipo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa nashangaa eti mtu anaenda public toilet anakaa chini anashikilia sink, yaani huwa napiga picha na vyoo vya huku kwetu
 
Sauna bongo😂😂😂😂labda uende hotel kubwa . Vile vyoo hata kama ni visafi sio kwa kuinamia kule. Chooni ni chooni tu mizigo inayoshushwa mule haina usafi
Kwamba bongo zipo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa nashangaa eti mtu anaenda public toilet anakaa chini anashikilia sink, yaani huwa napiga picha na vyoo vya huku kwetu
 
Kwa yeyote anaetafuta KOREAN DRAMA asisite nicheck, zipo stock ya kutosha,Thread hii yote kila movie/series uliyo ona imetajwa kwenye hii thread NINAYO.

kama unahitaji kwa ajili ya matumizi yako binafsi kuangalia karibu

kama unahitaji kwa ajili ya biashara wale wenye Movies Store karibuni

Pia unaweza soma hii thread kwa info zaidi ya vingine nilivyonavyo

Natamani nije nipate rafiki mkorea niwe namuuliza vitu fulani...kiukweli nina maswali mengi sana. Mfano watu matajiri walivyo kwenye drama ndivyo wanavyoishi matajiri wa Korea?
Na kwa nini leading actress anakuaga mchafu mchafu hajijali maisha yake yamesambaratika jamani..kwani haiwezekani akawa mdada classic tu akapendana na mkaka wa kitajiri kama kawaida maisha yaendelee
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio wote wanakuwa wachafu bwana sema wanakuwa na maisha ya hali ya chini. Secretary Kim alikuwa rafu? Huyu dada wa shooting stars je?
 
Inategemea na plot sio wote wanacheza kama Hwang Jung Eum kwenye She was pretty.

Ila japo ni wengi huwa wakicheza life la chini wanajiweka rough kuna wengine wamenitoka kidogo drama zao ningekutajia hapa licha ya low life ila wanajiweka charming,kama umecheki drama za Shin Se Kyung ni mfano halisi.
 
Eeh sio wote ila wengi jamani..hata my love from the star nae hakuwa mchafu, touch your heart pia Dali. Ila asilimia kubwa unakuta ndo vile wanaokota dodo chini ya mbuyu. Mdada maskini anapendwa na mtoto wa Bakhresa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakika
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hio si ndio inafanya iwe drama sasa. Mkaka classic anakutana na mdada classic wanapendana hiyo hata sio habari
 
Inategemea na plot sio wote wanacheza kama Hwang Jung Eum kwenye She was pretty.

Ila japo ni wengi huwa wakicheza life la chini wanajiweka rough kuna wengine wamenitoka kidogo drama zao ningekutajia hapa licha ya low life ila wanajiweka charming,kama umecheki drama za Shin Se Kyung ni mfano halisi.
Shin se kyung nimeangalia drama zake mbili tu kwa upande wa modern.... Bride of Habaek na When a man falls in love
 
Back
Top Bottom