Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

weekend menu kwa recommendation ya al hadidy
Screenshot_20220701-084609.png
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wewe uko kama mimi sijui kwa nini sinaga uvumilivu kusema ntaangalia siku nyingine nione itakuwaje. Ikinishinda tu nafuta
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi ni vile simu yangu ina space ndogo, ingekuweko nafasi ningeiacha tu.
Still 17 /30 but 17 umeiona? Nimeitafuta nkiri na kimoi haipo Numbisa
 
Hii mention nashangaa kwenye notification sijaiona au JF wapo kwenye matengenezo zaidi.

Kimoi ipo kwa jina la Thirty But Seventeen nimeshaiona ilipoisha tu enzi zake nikaivuta yote kwa bando la halotel night😂😂😂

Nkiri leo imenigomea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi ni vile simu yangu ina space ndogo, ingekuweko nafasi ningeiacha tu.
Still 17 /30 but 17 umeiona? Nimeitafuta nkiri na kimoi haipo Numbisa
 
Hii mention nashangaa kwenye notification sijaiona au JF wapo kwenye matengenezo zaidi.

Kimoi ipo kwa jina la Thirty But Seventeen nimeshaiona ilipoisha tu enzi zake nikaivuta yote kwa bando la halotel night[emoji23][emoji23][emoji23]

Nkiri leo imenigomea
Ooh ahsante, mimi pia imenigomea leo, niko na Abyss nimelazimika kupakua kimoi ma mb mengi ingekuwa nkiri ningeimaliza ila kimoi inachelewesha nimeishia kupakua episode saba tu
 
Binafsi nimependa uhusika wa Park Hae Soo (Berlin). Kacheza vizuri sana kwenye hiyo nafasi.

Tuzingatie hayo maandishi kwenye subtitles. View attachment 2273008
Hizi script sijui huwa wanaandikiwa na nani tu, yani flow ya maneno iko poa na watu wanaongea points na falsafa za kimaisha. Ukija huku kwetu, mtu anaongea tu ilimradi anaijua lugha husika, muda mwingine mara wachanganye ENGLISH-SWAHILI.
 
Hivi kuna mtu humu anaangaliaga Chinese dramas?
Katika kitu sitaki hata kujaribu au kuzielewa ni Chinese dramas, yani sijui huwa nawaonaje tu halafu hata ile lugha yao hiwa siielewi yani mtu akiongea inakuwa ni kama anavuta makohozi.

Lakini pia nyingi hazina story za kueleweka.
 
Story zao nzuri ila kwenye action tu ndio chai sana uongo mwingi hasa zile historical dramas zao kwenye upande wa kupigana ni balaa tupu ila story nzuri.

Kuna moja naicheki ya Tang Dynasty inaitwa The Long Ballad imenikamata flani.

Miezi 6 nyuma nilikuwa naziponda sana ila kuna jamaa yangu kanifanya nizicheki.
 
Back
Top Bottom