Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Nimeenda google kuwaangalia wahusika,maana majina mageni. Akina noona hawanivutii sana napenda vituko vya akina ahjumma (vile vimbibi hasa vile vya nje ya seoul)na ahjussi na vile vi oppa hasa lips zao.
Nikianza kuangalia drama tu naweka macho ya kipevert kwa main actor na actress kwa muda nikiscan muda wa kiss😂😂😂😂😂
Nikianza kuangalia drama tu naweka macho ya kipevert kwa main actor na actress kwa muda nikiscan muda wa kiss😂😂😂😂😂
Mimi majina yapo hapa ila nipo tofauti na fangirls wanavyovutiwa na mastaa wa kiume basi mimi navutiwa na wa kike akina Noona.
Mfano Shin Se Kyung napenda macho yake ya aibu,Seo Ji Hye,Han Hyo Joo tabasamu lake dah noma,Lee Se Young akicheka meno 32 yote nje,Yoo In Young japo anachezaga character za kukera ila naye ni noona wangu,Go Min Si,Song Hye Kyo,Seo Hyun Jin,Im Soo Hyang,Sooyoung,Cho Yi Hyun,Kim Seoulhyun,Hyejeong,Han So Hee n.k
Anyway hao ni wachache tu ningejaza essay hapa[emoji23][emoji23]