Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Na hivyo vipande 60 vimekatwa kuwa episode 8 per CD, na kila CD inauzwa 1500. Basi atafatulia ile drama mpaka inaisha kashapoteza 20K.
Nakumbuka hata mimi niliwahi kuifuatilia emperor of the sea kwenye cd hadi nilichoka, episode moja ina dakika 15. Baadae nikaenda YouTube...nako episode hazijaisha, sikumbuki niliimalizia wapi
 
Ndo mchezo wa ndugu yangu mmoja hivi nikimpa ninazovuta nkiri,kimoi anazisimanga hazielewi na hapo english inapanda vizuri tu
Watu wanaona uvivu kusoma subtitle, kuna mmoja mimi huwa analalamika eti maandishi yanapita haraka mno[emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi mimi nikiona maandishi yamepita sijasoma narudisha nyuma, ikiwezekana na-pause kabisa nasoma kwa kituo kama sehemu hiyo ni ya msingi[emoji16][emoji16]
 
Tangu asubuhi nahaha kusaka romantic story nzuri maana nisbaangalia dramas nyingi sana ila kuna baadhi najua sijacheki hebu wekeni kama 10 ama 20 ila zisiwe na kiss za moto sana kama anazopigana Yumi[emoji23]
 
Ili wateja wasiipate iwe rahisi kwao kuwauzia episode zote
Ahaa kumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] lakini si wana wateja wao bwana, hivi wanadhani kama mimi wakinificha jina ndio nitaenda kununua kwao? Namuona kabisa Gong Yoo yule pale kama nimeipenda si naenda tu gugo kuangalia drama alizoigiza naangalia inayofanania
 
Tangu asubuhi nahaha kusaka romantic story nzuri maana nisbaangalia dramas nyingi sana ila kuna baadhi najua sijacheki hebu wekeni kama 10 ama 20 ila zisiwe na kiss za moto sana kama anazopigana Yumi[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] weee...nenda tu gugo mwaya, tunaweza kujipinda kuandika hapa kumbe umeziona zote
 
Ndo mchezo wa ndugu yangu mmoja hivi nikimpa ninazovuta nkiri,kimoi anazisimanga hazielewi na hapo english inapanda vizuri tu
Mimi huwa napenda niangalie kwakuoma subtittles ndo nailewa vizuri drama, iliyotafsiriwa uongo mwingi sana na unashindwa kusikia sound walizokusudia wenye drama.
 
Leo nilipata nafasi ta kuwa mgeni kwa rafiki yangu mmoja, nikiwa pale kuna K-drama niliiona na nikaipenda sana ila nimesindwa kuipata licha ya kuwajua waigizaji kwa sura zao, maana imetafasiriwa na Madj kwahiyo wameibadili jina.

Plot.

Kuna jamaa alikuwa general kwenye ufalme fulani lakini baada ya kurudi kutoka vitani aliuliwa kwa amri ya mfalme kwa kuchomwa panga kifuani, baada ya hapo alifufufuka na kuwa mtu ambaye hafi. Inasemekana kuna binti atakezaliwa ndiye atakaekuwa na uwezo wa kulichomoa hilo panga ili jamaa arudi kwenye gali yake ya ubinadamu.

Naombeni jina la drama kama hamtojali wakuu,...[emoji120]
Goblin
 
Na majina kubadilishwa eti Sword Fraternity wakati story kamili na jina vimeachana mbali.

Na Sword Fraternity waliexist kwa episode ya 1-4 na 39-42 kama sikosei.

Jang Ok Jung waiite Sword Of The Prince wakati haiendani na jina kabisa na inamhusu Consort Jang Hee Bin story nzima.

Haya sijui Gye Baek Black ninja kisa ile kundi la siri la Sa Taek Bi.

In short siji kuangalia huo utopolo wao labda warudi enzi zile wanaanza Episode wanatafsiri full bila kugawa na jina lake OG.
Umenikumbusha kitu kuna rafiki yangu mmoja ana duka la kutafsiri movie pia ana laptop zenye hizo pia zilizotafsiriwa kuna siku nimemkuta anacheki series ya kikorea imeandikwa my fiance binafsi nikatokea kuipenda nikasema nitaitafuta ndugu nilihitafuta websites zote za kikorea sijaipata mpaka nikachoka baadae nikaja kujua kumbe wanabadilisha majina halisi ya movie nilichoka Sana lakini mpaka Leo sijafanikiwa kupata jina halisi la hiyo my fiance ila ilikuwa inahusu kufake marriage
 
Tangu asubuhi nahaha kusaka romantic story nzuri maana nisbaangalia dramas nyingi sana ila kuna baadhi najua sijacheki hebu wekeni kama 10 ama 20 ila zisiwe na kiss za moto sana kama anazopigana Yumi[emoji23]
✓Fatal Promise
✓Dangerous wife
✓The crowned clown ( Hii ni ya village)
 
Umenikumbusha kitu kuna rafiki yangu mmoja ana duka la kutafsiri movie pia ana laptop zenye hizo pia zilizotafsiriwa kuna siku nimemkuta anacheki series ya kikorea imeandikwa my fiance binafsi nikatokea kuipenda nikasema nitaitafuta ndugu nilihitafuta websites zote za kikorea sijaipata mpaka nikachoka baadae nikaja kujua kumbe wanabadilisha majina halisi ya movie nilichoka Sana lakini mpaka Leo sijafanikiwa kupata jina halisi la hiyo my fiance ila ilikuwa inahusu kufake marriage
Hizo ni market stratagies zao, kushindwa kwako kuijua movie uliyoipenda ndo kurudi kwako.
 
Ni strategies za kipuuzi zaidi wangewekeza Sana kuongeza ubora wa movie zao ili watanue wigo la market movie zao nyingi video quality zinakuwa vimepunguzwa ubora kutokana na kukatakata kwao vipande unakuta series ya episode 16 unaangalia kwa episode 100 kwa sisi ambao tupo smart hatuwezi kupoteza muda kwa situation kama hiyo.
 
Umenikumbusha kitu kuna rafiki yangu mmoja ana duka la kutafsiri movie pia ana laptop zenye hizo pia zilizotafsiriwa kuna siku nimemkuta anacheki series ya kikorea imeandikwa my fiance binafsi nikatokea kuipenda nikasema nitaitafuta ndugu nilihitafuta websites zote za kikorea sijaipata mpaka nikachoka baadae nikaja kujua kumbe wanabadilisha majina halisi ya movie nilichoka Sana lakini mpaka Leo sijafanikiwa kupata jina halisi la hiyo my fiance ila ilikuwa inahusu kufake marriage
Ungemjua male/female lead na story yake ingekuwa rahisi kuipata
 
Umenikumbusha kitu kuna rafiki yangu mmoja ana duka la kutafsiri movie pia ana laptop zenye hizo pia zilizotafsiriwa kuna siku nimemkuta anacheki series ya kikorea imeandikwa my fiance binafsi nikatokea kuipenda nikasema nitaitafuta ndugu nilihitafuta websites zote za kikorea sijaipata mpaka nikachoka baadae nikaja kujua kumbe wanabadilisha majina halisi ya movie nilichoka Sana lakini mpaka Leo sijafanikiwa kupata jina halisi la hiyo my fiance ila ilikuwa inahusu kufake marriage
Kama ni ya Thailand naifaham ila kama sio basi nitakua mistaken
 
Back
Top Bottom