Tashacobbs
JF-Expert Member
- Jun 18, 2022
- 572
- 1,559
My absolute boyfriend umeiona?Tangu asubuhi nahaha kusaka romantic story nzuri maana nisbaangalia dramas nyingi sana ila kuna baadhi najua sijacheki hebu wekeni kama 10 ama 20 ila zisiwe na kiss za moto sana kama anazopigana Yumi[emoji23]
Iyo inaitwa prime minister and I kama sijakoseaUmenikumbusha kitu kuna rafiki yangu mmoja ana duka la kutafsiri movie pia ana laptop zenye hizo pia zilizotafsiriwa kuna siku nimemkuta anacheki series ya kikorea imeandikwa my fiance binafsi nikatokea kuipenda nikasema nitaitafuta ndugu nilihitafuta websites zote za kikorea sijaipata mpaka nikachoka baadae nikaja kujua kumbe wanabadilisha majina halisi ya movie nilichoka Sana lakini mpaka Leo sijafanikiwa kupata jina halisi la hiyo my fiance ila ilikuwa inahusu kufake marriage
Asante mkuu ebu nipe story yake kiufupi nione kama ndio yenyeweIyo inaitwa prime minister and I kama sijakosea
Kifupi prime minister anafanya contract/fake marriage na reporter flan ili kuziba scandal ya yeye kupigwa picha na Huyo reporter lkn pia kumsaidia baba wa huyo reporter ambaye alikuwa anaumwa amnesia... Ni muvi Kali sema sijui kama ndo iyo uliyokuwa unamaanishaAsante mkuu ebu nipe story yake kiufupi nione kama ndio yenyewe
Mama Fairy And The Woodcutter.Hii drama gani wajameniView attachment 2283642
Yeah, nimeshaitumia sana picha yake maana huyo dada nampenda kufa [emoji16]Mama Fairy And The Woodcutter.
Halafu si picha yake ya Moon Chae Won ushawahi tumia kwenye profile kama yupo mtoni
wakuu naombeni link At eighteen ko drama hii nimeikubali mno
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yule actor mlevi mimi nampendaga anavyoongea ingawa hii bado sijaiangaliaMy liberation notes kwa kiswahili tunaweza kuiita Malalamiko fc,drama nzima imejaa malalamiko tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bila kumsahau mlevi GU,daily yupo na soju yake,vile viglass vya soju awesome ngoja nikavisake maduka ya vyombo.
shukrani mkuuDOWNLOAD At Eighteen S01 (Complete) | Korean Drama
Download At Eighteen S01 (Complete) | Korean Drama for free at nkiri.com. Download all the greatest blockbuster Movies at nkiri.comnkiri.com
My watchlist
Still 17
Legal high
Remember
When camelia blossoms
Devilish charm
Ghost doctor
A beautiful mind
Thirty nine
I wanna hear your song
Something in the rain
Red sleeve
She was pretty
Extraordinary attorney woo
Cheese in the trap
Don't dare to dream
True beauty
A gentleman's dignity
Forecasting love and weather
Kairos
Imeshaisha kumbe? Vipi Yumi's cells nayo bado?Uko vizur
Just finished Anna
Bae Suzy kawezea humu
We angalia tu taste tunatofautianaIs shooting stars worthy watching [emoji849]?????
Imeshaisha kumbe? Vipi Yumi's cells nayo bado?
Bila shakaNjoo hapa nikupe series yoyote unayoiihitaji
Link hii hapa mkuu..share na marafiki zao unaofahamu wanapenda movie na series kali za kijanja.